WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi nipo uyui Msingi nataka kwenda kibaha or temeke.0713 264219
 
Ndg npo MBOGWE idara ya Msingi nataka kuja Mugumu(Serengeti) kwa aliyetayari kubadilishana tuwasiliane hapa 0753428047 au 0754999047.
 
nipo nzega-tabora natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka morogoro wilaya yoyote, idara ya sekondari nipo kazin miaka mitatu 0762741669
 
Niko tanga kilindi kama kuna anehitaji kuja huku kutoka moro, mtwara, manyara, dodoma, lindi na pwani ani pm
 
mimi nipo bukoba vijijini nataka nije nifanye mchakato wa kubadilishana na mtu yeyote anayetaka kuja huku na mm niende mojawapo ya halmashauri hizi.kibaha mjini.bagamoyo.kinondoni.ilala.temeke.moro mjini.dodoma mjini.nyamagana.ilemela.
Shule nilipo ni kama kilometa saba toka bukoba mjini na ina huduma zote hata umeme.
Idara ni sekondari.km vp nitumie private message tuwasiliane
Kama huwezi kutuma PM niwekee zako namba nikutafte
 
Mwl wa sekondari nipo Nzega mjini natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka MOROGORO WILAYA YOYOTE, SENGEREMA, MISUNGWI,GEITA, NGARA, KATAVI, KASULU. 0762741669
 
Mwalimu unayetaka kazi kufanya kazi Maswa idara sec, ni pazuri umeme upo magari ya kwenda mwanza yanapatikana. Ewe mwalimu kutoka mbeya, Tukuyu, kyela, busokelo, wangingombe,makambako, iringa, morogoro,Tanga,
Dar es salaam, Dodoma na Mwaza wahi mapema mchakato uanze. usihangaike nitext 0765419096
 
Nipo wilaya ya Mwanga, Kilimanjaro idara ya sekondari. Nahitaji kubadilishana na mwalimu toka Bagamoyo, Kibaha au hata Dar es salaam. Kwa mwenye uhitaji ani PM tufanye mawasiliano.
 
Nipo Tabora Wilaya Ya Uyui,ldara Ya Elimu Msingi, Nataka Kwenda Mikoa Ya Kusini Au Pwan Alye Tayar Tuwasiliane Npo Ful Madocument Nna Mwaka Wa 4 Kazn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…