WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo BAGAMOYO nije MBEYA JIJI nipo idara ya secondari.Nicheki 0683081550.
 
Mwlm nipo KILOSA-MOROGORO (Idara ya msingi) nahitaji kuja RUNGWE-MBEYA, mawasiliano 0786211333
 
Mimi mwalm katka mkoa wa Mwanza idara ya sec. wilaya ukerewe natafuta wa kubadilishana nae wilaya yoyote Manyara,Dodoma, Arusha na kilimanjaro. Cm no. 0757529848
 
Mimi mwalm katka mkoa wa Mwanza idara ya sec. wilaya ukerewe natafuta wa kubadilishana nae wilaya yoyote Manyara,Dodoma, Arusha na kilimanjaro. Call me 0757529848
 
Nipo arusha wale wa babat tanga na moro mnione ilimrudi kwenu contact me 0788628489
 
Njoo kgoma nije popote kati ya tanga,moro,iringa,mbeya,arusha,moshi na penginepo 0785040810.
 
Mambo vp wana JF?,
mi ni mwalimu, idara ya sekondari, nipo ktk mkoa wa pwani-sehem mmoja inaitwa ikwiriri(rufiji), nahitaj mwl. Wa kubadilishana naye, awe anatoka KAHAMA MJI au SHINYANGA MANISPAA.
Asanteni.
(Mwalimu)
 
@@[1:[0:1:Jaman Njoon Kwenu Tabora Idara Ya Mcing Mimi Niende Dodoma,Mbeya,Morogoro,Pwan,Iringa Au Njombe Na Songea,Tuwasiliane Kwa 0753705024.]]
 
Mwl yupo kishapu-shinyanga idara ya sekondari, anatafuta mwl wa kubadilishana naye atoke wilaya hizi
.Chato
.Bukombe
.Geita
Aliye tayari afanye mawasiliano kwa no 0755289666
 
Jamani ina maana hakuna wazawa wa mtwara? au ndo hampataki kwenu? nataka kwenda mkoa wwt wa kaskazini njoo mtwara newala. niPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…