frederick mpilipili
Member
- Mar 25, 2014
- 8
- 0
M nipo tunduru kama uko tayari nataka kuja tanga,moro,pwani
Mm mwl nipo ruvuma natafuta mwl wa kubadilishana kutoka Tanga,Pwani,morogoro namba 0686538848,0758538890,mcngi
Mimi mwalimu katika mkoa wa iringa,natafuta mtu wa kubadilishana naye!
Magu hapana kiongozi
Hivi majina ya walioomba kubadilishana vituo yanatoka lini?
nyie walimu hebu tulieni ndio maana watoto wetu wanafeli kwa sababu mawazo yenu ni kubadilishana vituo tu