Ramadhan vitalis
Senior Member
- Feb 10, 2014
- 134
- 4
mimi ni mwalimu wa shule ya msingi jina langu ni Windiupendo nipo Kibaha KWA MATHIAS natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka manispaa ya dodoma kwa mawasiliano 0757874521
NJOO ROMBO SEC NIJE PWANI:: MKURANGA KISARAWE RUFIJI KIBAHA Bagamoyo
Anayetaka KASULU kutoka bukombe,kahama,geita,mwanza
,singida, babati na dodoma idara ya sec tuwacliane.
kuna mwl anataka kuja Rukwa kutoka Kilimanjaro
Njoo lushoto mie nije Monduli