WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nina ndg yangu Musoma-Kinesi anataka kuja Mwanza. Kwa yeyote anayehitaji kubadilishana anicheki kwa pm
 
Njoo Wilaya ya kilwa _LINDI nije kibaha,Bagamoyo, Rufiji,Handeni na Tanga. Kama upotayali tuwasiliane tuanze mchakato 0767069049, 0713069049
 
MWL IDARA YA MSINGI NIPO TABORA (V) NATAFUTA MWL ALIYE MKOA WA MBEYA AU IRINGA TUBADIRISHANE VITUO VYA KAZI. Cont;0764403467
 
huyu yupo singida-Iramba, idara Msingi anatafuta wa kubadilisha nae kutoka popote MANYARA NA ARUSHA.
Kama uko tayar tuwasiliaane kwa PM nikuunganishe nae.
 
Nipo Mufindi mkoa wa Iringa nataka kwenda Mwanga mkoa wa Kilimanjaro. Mwalimu wa sekondari mawasiliano 0717057495
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…