Mimi mwalim wa arusha jiji nataka kuhamia kibaha
Njoo lushoto-tanga idara ya sekondari nije iringa!!
Mambo vp Njoo kilimanjaro au naomba nitaftie anaetaka kuja kilimanjaro
mimi niko babati vijijini natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mogogoro yeye aje babati mi niende moro kaka yupo anichek kwa namba 0757477171 idara secondary
Tabora n mbal ndg,hasa nlkuw napenda 2badlshane mikoa y nyanda za juu kucn kama inawezekana
kuna mwl anataka kuja Rukwa kutoka Kilimanjaro