WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

anayetaka kasulu kutoka babat, arusha tanga na dodoma pm tafadhal idara ya sec.
 
Mimi ni mwl tabora,WILAYA uyui idara secondar shule ina Umeme,ipo jiran na barabara ya URAMBO natafuta mwl. Wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa dar es salam,NAULI YA KUHAMA NITAKURUDISHIA kwa mawasiliano pga:0755509924,0656541314
 
Mwl.anaependa kuja Tabora-Uyui awe anatoka kati ya halmashauri zifuatazo; Mbinga, songea, Namtumbo, Njombe, wanging'ombe,Ludewa,mufindi,Iringa,kilolo,Rungwe,kyela,mbozi,mbeya,chimala,kilosa,mvomero,kidatu,morogoro au Dar! Kwa aliyetayari tufanye mchakato! Idara sec. Mawasiliano ni:0688759924
 
MIMI NIKO MAMLAKA YA MJI KOROGWE KTK IDARA YA ELIMU SEKONDAR.
MBADALA WANGU ATOKEE KAHAMA MJIN MPAKA MAENEO YA ISAKA(KAHAMA),NZEGA MJIN AU TBR MJIN.no yng ya cm 0755-106024 or 0788-290546
kuna jamaa yang yupo tbr jiran na town lakn wilaya uyui km upo fresh ni2mie pm.
 
Mimi mwalimu Godfrey Siame wa Musoma(v) naomba kubadirishana kituo cha kazi na mwalimu yeyote aliyeko ktk mikoa ifuatayo; Iringa, Njombe, Mbeya, Songea na Rukwa
 
nipo tayari kuja Tanga kaka.Tafadhali nitumie mawasiliano ya huyo nduguyo ili tuanze kufanya mchakato.Mimi pia nipo hapa Mjini Nansio.

 
kwa elimu ndogo ya mtaani na darasani niliyonayo najua mwalimu ni mtu mwenye taaluma ya kufundisha(kutoa elimu juu ya kitu fulani) ukisema mimi ni mwalimu unatakiwa utoe utata kwa kubainisha we ni mwalimu wa nini maana hata makungwi ni walimu pia.
 
Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje longido niende Arusha jiji,kama upo niPM
 
Njoo korogwe niende mbeya -kyela,rugwe,jiji au vijijni, idara sec 0717500519
 
Huyu Daniel Mwita ni wa hapa tarime jamani.
Si uje kwenu hapa tarime sirari mimi nije huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…