Njoo buhigwe manyovu kigoma idara ya sekondari mimi nije kilombero,kilosa,iringa,makambako
Nipo mkoa wa kigoma wilaya ya kibondo almashauri hapa, naitaji kuhamia either dar es salaam, morogoro, kibaha, nipo idara ya secondary
0685474701
hivi hawa jamaa wa kigoma mbona hataki kurudi kwao
njoo kahama halmashaur ya mji nije tanga,pwan.ni pm kama uko tayar
Jamani tabora mjini hampataki ,njooni basi ambao nikwenu nasie turudi kwetu.