WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mi ni mwalimu sekondari manispaa ya kigoma natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mbeya,morogoro,pwani,iringa, dodoma,kwa aliyetayari naomba ni pm
 

kwa nn unapakimbia mema?mbona pazur tu.me nimesoma makalema bana.nipo shinyanga nam natafuta wa kubadili nae
 

njoo mbeya tukuyu nije lushoto.
 
me mwl wa primary natafuta mwl wakubadilishana nae toka manispaa ya mwanza morogoro au kibaha.me nipo shinyanga
 
mimi nipo sekondari wilaya ya RORYA nahitaji mtu wa dar, pwani au tanga mjini.
 
NDUGU YENU YUPO SINGIDA ANATAFUTA Mwl MSINGI KUTOKA SEHEMU YOYOTE YA KILIMANJARO,TANGA au MOROGORO.
0756231236 au 0756806493.
 
NDUGU YETU ANATAFUTA Mwl MSINGI KUTOKA IRINGA au NJOMBE aje RUVUMA-MBINGA.
0762302612 au niachie ujumbe wa mandishi au PM.
 
Mi ni Mwl. sekondary Mbozi natafta wa kubadilishana naye mie mie niende Iringa au Moro yeye aje Mbozi. Kama uko interested please let me know through PM. Many thanks.
 
Mi nipo manispaa ya morogoro nataka kwenda kasulu kigoma
Vipi ndugu yangu huwezi kuja manispaa ya kigoma mjini, mi nataka nije moro ila hapa manispaa kuna mtu anataka kuhamia kutokea kasulu,tubadilishane
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae Dar,niko Kisarawe-Pwani
 
Mi ni Mwl. sekondary Mbozi natafta wa kubadilishana naye mie mie niende Iringa au Moro yeye aje Mbozi. Kama uko interested please let me know through PM. Many thanks.

Mie huko ndo hom ila nipo mtwara,kama vp untaftie mtu huko.pia ntakuulzia jamaa flan kama atakua interested. 0783040506
 
Mimi ni mwl wa sekondari nipo mafia mkoa wa Pwani tubadilishane na mwalimu kutoka Dar au wilaya ya kibaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…