WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

My friend anahitaj mtu wa kubadilishana na mtu yeye yupo wilaya ya chunya,anahitaj kwenda SONGEA, mawasiliano 0717029296
 
me mwl wa primary natafuta mwl wakubadilishana nae toka manispaa ya mwanza morogoro au kibaha.me nipo shinyanga

pole sana,Shinyanga mbali sana,ila huwenda hapa ukapata mtu wa kubadilishana nae
 

hahahahaha,wewe huo mzunguko umeukinai???
 
Me nimejitulizia akili KINONDON,namshukuru MUNGU,nilitupwa shinyanga,,,,,,,ila hata kupajua sipajui,,,,nikapata mtanzania wa kubadilishana nae
 
niko magu mwanza Idara ya elimu sekondari nataka kuhamia musoma mara. Kwa aliye tayari ani pm
0765699148
 
ndugu yangu yuko elimu sekondari magu mwanza anataka kuhamia dodoma au morogoro. Kama uko interested ni pm
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi niko Simanjiro - Manyara nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka Halmashauri ya mji Geita au Halmashauri ya Wilaya Geita. 0715794977.
 
Mi ni Mwl. sekondary Mbozi natafta wa kubadilishana naye mie mie niende Iringa au Moro yeye aje Mbozi. Kama uko interested please let me know through PM. Many thanks.
kuna mwalim toka mahenge Morogoro,,kama utafeel PM twende sawa
 
nipo kilosa-morogoro natafuta mwl wa kubadilishana toka wilaya ya rungwe tu mkoani mbeya idara sec 0758203473
 
Mimi ni mwl wa sekondari nipo mji wa Kahama (SHINYANGA), shule ipo katikati ya mji. Nahitaji kwenda manispaa yeyote hapa TZ. Anayehitaji tubadilishane anitwangie 0774 205159.
 
NDUGU YENU YUPO SINGIDA ANATAFUTA Mwl MSINGI KUTOKA SEHEMU YOYOTE YA KILIMANJARO,TANGA au MOROGORO.
0756231236 au 0756806493.

Mwambie aje Simanjiro, anaweza kupangwa Mererani au Msitu wa tembo, kutoka Mereran - Arusha ni buk 5 na kutoka Msitu wa tembo - Moshi mjini ni 1000.
 
kwa mwalimu anaeitaji kwenda shinyanga wilaya ya kishapu,mwl msingi tafadhali tuwasiliane,ila awe anatoka Arusha,kilimanjaro,au manyara,asiwaze kuhusu kupangiwa sehemu nzuri ni jambo la kawaida sana,contact,0712872378
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…