Rungwe kuna shida gani ndugu yangu endelea kufanya uko uko badilishana badilisha mwisho wa siku utaikosa kazi yenye mtaani hakufai
 
Mimi niko huku Kilindoni Wilaya ya Mafia...naku Pm sasa hivi tubadilishane. Kama hutapenda kuna rafiki yangu yuko Kibondo-Kigoma utakuwa tayari?
 
ndugu, tulia na hiyo ajira uliyopata, acha mapepe mtaani kugumu, hiv ungepangiwa mpanda ingekuwaje?
 
Habari wana JF. Huyo WEO wa kivukoni kama atapenda mkoa wa kilimanjaro wilaya ya Siha atanisaidia sana kuweza kuungana na familia yangu iliyopo Dar es salaam. Kama atakuwa tayari anitumie PM tuwasiliane kwa marefu na mapana.

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…