WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Rungwe kuna shida gani ndugu yangu endelea kufanya uko uko badilishana badilisha mwisho wa siku utaikosa kazi yenye mtaani hakufai
 
Mimi niko huku Kilindoni Wilaya ya Mafia...naku Pm sasa hivi tubadilishane. Kama hutapenda kuna rafiki yangu yuko Kibondo-Kigoma utakuwa tayari?
 
Habari wana JF. Huyo WEO wa kivukoni kama atapenda mkoa wa kilimanjaro wilaya ya Siha atanisaidia sana kuweza kuungana na familia yangu iliyopo Dar es salaam. Kama atakuwa tayari anitumie PM tuwasiliane kwa marefu na mapana.

Asante.
 
Back
Top Bottom