WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

kwa mwalimu yoyote anayetaka kuhama shule kutoka kijijini kwenda mjini kokote tanzania tuwasiliane kwa namba 0716928197 sharti awe amekaa kituoni miaka miwili au zaidi kazi inafanywa ndani ya mwezi na nusu na pesa utalipa nusu kazi ikiisha unamalizia
 
Dadangu ni mwl wa sec anatafuta mtu wa kwenda rorya yy aje dar nicheck kwa 06528077720 au 0683900853
 

Mwl wa sekondar uliyeko njombe unataka kuja morogoro-gairo contact 0757021255
 
Nipo manispaa ya ilala nipo tayari kuhamia mkoa wowote ila anayehitaji anipe mshiko

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

mwl njoo manyara wilaya ya mbulu kama uko tayari nipm kuwa mshiko unahitaji Tsh.Ngapi?
 
Mwl Anna George yupo Rorya anatafuta mtu wa kubadilishana naye aliye Temeke(dsm) secondary section mob no0652807772
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae idara ya msingi toka arusha, longido.kilimanjaro au morogoro yeye aje Bunda mkoa wa Mara.kwa mawasiliano0787181565
 
Kwa mwl wa sekondari aliyeko wilaya ya Namtumbo anataka kuja morogoro-gairo no 0757021255
 
Kwa mwl wa sek aliyeko wilaya ya kilolo, iringa vjjn, makambako, mufindi, mafinga au iringa mjn anataka kuja moro-gairo no.0757021255
 
Mwalimu idara ya sekondari, anayetaka kuja mbeya halmashauri ya Rungwe/Busokelo, niende tanga mjini/korogwe/muheza au Dodoma mjini. tuwasiliane hapa 0683436242/0765582366

E bwana njoo kilosa-gairo ni karibu na dodoma pia karibu na tanga 0757021255
 

Mwl wa sekondar aliyeko namtumbo( nishiki gari nipande nyengo) na anataka kuja morogoro-gairo tuwacliane 0757021255
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…