Negative 1
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 133
- 4
Muda wa mwisho wa kupeleka barua mkoani kwa ajili ya uamisho wa mwezi wa Disemba ni lini?Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Yusuph namba yako siipati niunganishe na huyo jamaa #0757021255
Nataka kuhamia mwanza njini. Nipo hai kilimanjaro.
nipatie namba yako ya cm kaka au nitafute kwa na 0756231236
Kuna ndugu yangu yuko TANGA(ELIMU MSINGI) sijui wilaya gani ila anataka aende RUVUMA, MBEYA au PWANI. Aliyeko tayari aniPM walimu wangu. Nitawapatia mawasiliano yake.
Mwanangu nicheki kwa no 0763520239