Hbr natafuta meo wa kubadilishana nae kituo cha kazi ,mimi nipo kata ya igoma wilaya ya nyamagana Mwanza.mawasiliano 0658281154
 
Nisawa na kuomba ubadilishane na mtu kwa bukta na suruali.
Yaani umtoe mtu dar aende mwanza? Mbona hicho ni kichekesho.
 
Nisawa na kuomba ubadilishane na mtu kwa bukta na suruali.
Yaani umtoe mtu dar aende mwanza? Mbona hicho ni kichekesho.

kwanini haiwezekani mkuu au kwa sababu gas inakuja dar??
 
(meo), ina maana gani, au kuna watu special umeewaandikia?
 
Nisawa na kuomba ubadilishane na mtu kwa bukta na suruali.
Yaani umtoe mtu dar aende mwanza? Mbona hicho ni kichekesho.

Acha dharau kwani Dar kuna watu maalum wa kuishi?
 
MEO atakuwa ni Mtaa Executive Officer hawa wanapatikana kwenye majiji na manispaa, na kwenye mamlaka za mij, vijijini wanaitwa VEO Village Executive Officers.anaweza kupata mimi nilishawakutnisha watu wa namna hii, wakabadilishana vituo vya kazi, inatokea sana kwa watu ambao wanakuwa wanafuata mke au mme

Niliowakutanisha mimi ilikuwa hivyo hivyo marafiki zangu wawili walikuwa wanahama vituo vya kazi mmoja alikuwa anahamia dsm na mwengine huku mkoani kama bahati wote wawil wake zao walikuwa ma MEO kwa hilo niliwaunganisha na uhamisho wao ukawa rahisi sana .
 
Hakuna kitu kama hicho. Hiyo ni kama kubadilishana suruali na çhupi. Mkoani haendi mtu we piga kazi
 
Wakati mwingine bora kufunga bakuli...!!! Mtaa Ex Off.. ?? Lazima ulifaulu alama za juu kutoka chini kama yule mbunge Lusinde !!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…