WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Me niko makete but ningempata mtu wa dar au morogoro ili tubadilishane.
 
MWL.ANAYEHITAJI KUJA SINGIDA HALMASHAURI,MI NIENDE MAGU,ILEMELA,NYAMAGANA,MISUNGWI AU MAENEO YA JIRANI.
IDARA-SEKONDARI.
E-m,,godwinwaitara84@gmail.com au
Ni-pm. Nta-reply rapidly.
 
Dar tabu tupu may be kama unataka kuja kusoma, but kama ni kufanya kazi aisee ni bora ukawasikiliza members wanachokushauri, au hujawahi fanya kazi dar? Yaani kazi yako utaichukia.
 
mimi nipo mkoa wa njombe wilaya ludewa mpakani na songea nataka mwl wa kubadilishana naye wa sekondari wa moshi mkoa wa kilimanjaro 0753801682
 
mwl.anayehitaji kuja singida halmashauri,mi niende magu,ilemela,nyamagana,misungwi au maeneo ya jirani.
Idara-sekondari.
E-m,,godwinwaitara84@gmail.com au
ni-pm. Nta-reply rapidly.

njoo biharamulo
 
Kwa mwalimu idala ya secondary anae takam kuja Manyoni kutoka Geota, nyamagana, Ilemela, Sengerema , magu au Musomama manizpaa piga au nitext kwenye 0753868912
 
Kwa anaetaka kuja sengerema mkoa wa
mwanza kutoka Tanga, Pwani,au
Morogoro idara ya msingi tuwasiliane
please.
 
Mimi ni mwalim wa sekondari katka halmashauri ya Uyui tabora,,,kwa aliye moro,iringa au mbeya wilaya yoyote naomba tuwasiliane..
 
Nipo mvomero idara ya msingi nahitaji kwenda Dar manispaa yeyote alie siriaz anicheki 071804943
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…