Jaman hamtaki kurudi kiomboi singida iramba?nipo wilayan hebu njon nirud namie home kwe2 kilimanjaro wilaya yoyote idara sekondar contact 0653369940 nipo seriously
wewe ni mwalimu (msingi, sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na jamiiforums ni kwa pm (private messages) ndani ya jf - kwa usalama wako na usiri zaidi.
Tunakutakieni utumishi mwema.
Jamiiforums
Kama Kazi Ngumu Acha Kazi! Kwanini Unahama GASEOUS CITY Na Kwenda SMOKES CITY?
unamaanisha morogor manispaa au vijijini? Hebu njoo pm tuone tunafanyaje.
Kuna rafik angu yupo iringa utaenda?