HONGOLI JOSHUA
Member
- Jul 8, 2014
- 41
- 7
Vipi amepata au bado? Kama bado mwambie aje MasasiHabari zenu wana JF
Nina ndugu yangu mwalimu wa primary, yupo Ulanga-Morogoro, anataka kuhamia TANDAHIMBA-MTWARA.....Hivyo anahitaji mwalimu wa kubadilishana naye.
Kwa aliyetayari awasiliane nami kwa barua pepe kajuna81@hotmail.co.uk.
Njoo iringa dc shule jirani kabisa na town nije tangaPromo Kabambee
Mwalimu amesema anataka Iringa mjin ww uje Tanga jiji.yupo sec.mtafute 0765789060 au nitafute mimi nitawaconect
Yeye anataka townNjoo iringa dc shule jirani kabisa na town nije tanga
njoo Uvinza-Nguruka-idara ya msingiKigoma vijijini
Hampo jamani walimu wa kuja MasasiMasasi to
Njombe
Iringa
Rufiji
Mkuranga
Kibaha
Morogoro
Mbeya
Makambako
Pwani
Dar Es Salaam
Elimu msingi-0657201403,071994741,0768313090,
Nipo moro DC we upo kmnjaro wilaya ganiAnayetaka kuja moshi toka morogoro,kibaha anipm