WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo uvinza kigoma nije kilimanjaro,arusha,manyara ama tanga

Mwambie mwenzio amwambie na mwenzie
 
Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha 0653795210 0718145989 idara sekondari
 
Mwalimu njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha morogoro town au morogoro dc idara ya sekondari 0653795210
 
Njoo iringa dc nije pwani wilaya ya mkuranga kisarawe bagamoyo rufiji kibaha morogoro town au morogoro dc au mvomero idara ya sekondari 0653795210
 
Dar,kibaha na Moro town ni sawa.mimi nipo Tanga mjin.njoo tubadilishane.idara ni sec.0713142568
 
njoo kakonko kigoma idara secondary me nije
kongwa
mpwapwa
chemba
chamwino
bahi
kondoa
morogoro wilaya yoyote
singida wilaya yoyote
tanga wilaya yoyote
au popote mikoa ya katikati ya nchi 0782468003
 
njoo manispaa ya iringa mwalim aje mjini makambako idara msingi 0757093134
 
mwl Hilda Amosi kutoka mkoa wa Morogoro Wilaya ya Malinyi anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya sekondari kutoka siha kilimanjaro au maeneo yoyote jirani na Wilaya ya Siha kilimanjaro. Namba ya si simu ni 0712311611. Asante
 
Back
Top Bottom