HONGOLI JOSHUA
Member
- Jul 8, 2014
- 41
- 7
Vipi amepata au bado? Kama bado mwambie aje MasasiHabari zenu wana JF
Nina ndugu yangu mwalimu wa primary, yupo Ulanga-Morogoro, anataka kuhamia TANDAHIMBA-MTWARA.....Hivyo anahitaji mwalimu wa kubadilishana naye.
Kwa aliyetayari awasiliane nami kwa barua pepe kajuna81@hotmail.co.uk.