WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Write your reply...Natafuta mtu wa Kubadilishana nae aje Bukoba DC mm niende Muleba DC nina miaka 6 kazini 0765038511
 
Mi mwalimu Shabiru Yahaya wa Shule ya sekondari Mtae Naomba mwalimu wa kubadilishana nae nielekee korogwe mji 0714205255 Nina TSD NA CHEQ NO
 
TANGAZO natafuta sekretari wa kubadilishana nae kutoka Mkoa wowote ule aje Dar es Salaam,, Halmashauri. awe ni muajiriwa wa Serikali. Kwa mawasiliano 075306203
0759007829


Chichimizi
 
Back
Top Bottom