WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Samahani naomba kujuzwa, kuna binti yangu amekamilisha taratibu za uhamisho toka 25/februar 2020 yaan barua zimeenda Tamisemi, ila mpaka leo kimya hakuna jibu lolote kutoka Tamisemi, je ni hatua zipi zinapaswa kuchukuliwa?
Muulizie maendeleo TAMISEMI. Mkaulizie.
 
Kwa anayetaka kuja Geita DC mi niende Kibaha rural au Chalinze au Muheza au Bagamoyo au Kibiti aje inbox
NB: idara ni secondary.
 
Kama kuna technologist ,mikoa ya Dodoma, Morogoro na manyara aje kanda ya ziwa tuwasiane pm
 
Mwenye uhitaji aje halmashauri ya wilaya ya kakonko then niende Masasi Mtwara. Simu 0679448195
 
Njoo ngara nije karagwe idara ya secondary
IMG_20200708_124748_1.jpg
 
Back
Top Bottom