Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
Muulizie maendeleo TAMISEMI. Mkaulizie.Samahani naomba kujuzwa, kuna binti yangu amekamilisha taratibu za uhamisho toka 25/februar 2020 yaan barua zimeenda Tamisemi, ila mpaka leo kimya hakuna jibu lolote kutoka Tamisemi, je ni hatua zipi zinapaswa kuchukuliwa?