WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wa kubadilishana anahitajika (wa sekondari) mwenye 'Geography' kutoka MVOMERO au CHALINZE au MKURANGA au KISARAWE kwenda TANGA JIJI. Lengo la mdau ni kuondoka TANGA JIJI. MKURANGA kipaumbele namba moja.
Mawasiliano yaanze kwa private message (PM)📩
Please share this 2 your people | Tafadhali sambaza hii
 
Wa kubadilishana anahitajika (wa sekondari) mwenye 'Geography' kutoka MVOMERO au CHALINZE au MKURANGA au KISARAWE kwenda TANGA JIJI. Lengo la mdau ni kuondoka TANGA JIJI. MKURANGA kipaumbele namba moja.
Mawasiliano yaanze kwa private message (PM)[emoji395]
Please share this 2 your people | Tafadhali sambaza hii
Unataka kuhama tanga jiji [emoji1787]utakuwa uko mabayani au mowo[emoji1787][emoji1787]
 
1. Njoo ukerewe aje Sengerema, Misungwi au Buchosa, ilemela au nyamagana. Idara ya Msingi

2. Njoo Kilosa aje Mwanza, Geita au ilemela au nyamagana (science). Idara ya sec.
 
Mwalimu mzawa wa Biharamulo,Sengerema,Chato,Kibondo,Ngara na maeneo yote kanda ya ziwa toka huko ulipo Njoo Bukombe_Geita uwe karibu na kwenu,nije Dar/Pwani_Elimu Sekondari
Njoo DM tuyajenge
 
Back
Top Bottom