WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Moshi Manispaa idara ya msingi nije Babati Vijijini
Mawasiliano.
0684668425
FB_IMG_1641575085713.jpg
 
Njoo Moshi Manispaa idara ya msingi nije Babati Vijijini
Mawasiliano.
0684668425
FB_IMG_1639916098947.jpg
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
naomben kujua procedures za kuhamisha mtoto kutoka shule ya kata Morogoro kwenda kata DSM
 
Back
Top Bottom