orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Nenda shuleni chukua namba ya mtoto aliyopewa wanaita prim number bila shaka utapeleka huko unakotaka kumwamishia wanafanya uhamisho kwa nija ya onlinenaomben kujua procedures za kuhamisha mtoto kutoka shule ya kata Morogoro kwenda kata DSM