WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Geita wilaya ya chato bwanga nije Mwanza misungwi, sengerema, Nyamagana au ilemela. Mawasiliano zaidi njoo in box. Idara elimu msingi. Nafuata familia.
 
Njoo Rombo -Kilimanjaro (secondary- arts subjects) aje Njombe mji, makambako (Njombe) ,Mafinga mji, Mufindi (Iringa)

Au Rungwe, Tunduma, Tukuyu (Mbeya)
 
nina miaka isiyopungua 6 humu, na miaka isiyopungua 5 kazini lakini sijawahi ona wala kupata mtu anataka kuja Ruangwa, why?


Jamani ofa hii
Anayetaka aje Ruangwa mimi niende popote aliko tofauti na kusini yaani Lindi, Mtwara, Ruvuma nk
Huko wanaenda wneyewe tu Broo kupata mtu ni golden chance

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Njoo Kagera-Ngara mimi niende maeneo yafuatayo:-
*Geita Katoro
*Bunda Mara
*Magu
*Misungwi
*Butiama
*Musoma Municipal
*Sengerema
*Tarime
*Rorya
*Kahama Municipal
*Busegwa
*Ramadi
Kwa yoyote aliyetayari nicheck in box. Idara yangu ni elimu sekondari na ninafundisha Mathematics na Geography.
 
Hawa Jamaa zangu wa kutoka Ngara ampapendi kwenu? Mbona mko kimya tatizo nini? Mngejua huku Ngara pamenoga sana. Sasa njooni basi inbox tuyajenge.
 
Back
Top Bottom