Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Moshi DCNjoo KAHAMA MANISPAA nije ,DODOMA,IRINGA,NJOMBE,MBEYA,SONGWE au RUKWA... IDARA ELIMU-SEKONDARI,Mawasiliano 0710382012
Yupo mtu kahama, msingi
njoo masasi nije mafingaKwa niaba;
Njoo Mafinga nije Kasulu TC
Mkuu njoo Kagera nije songea 0653950336Njoo Kilimanjaro basi..
Acha uje nikupeleke mwilamvyaKwa niaba;
Njoo Mafinga nije Kasulu TC
Hahaha Mimi nimeishi mwaka wa Sita sasa Sina hata kovu na ninatembea masaa 24. Ukiishi na watu vizuri huwezi kupata shida.Tunaogopa mapanga huko
SecondaryIdara gani?
Ndugu hauwezi ukaja Ngara?Nataka kuhamia halmashauri ya magu mi nko ilemela kama unahtaji njoo inbox
HapanaNdugu hauwezi ukaja Ngara?
Hadi sasa sifahamu mtu yyt wa Kagera ama anyetaka kuhamia. Tuendelee kupambana.Bwana Nyundo mambo vp? Naomba nikuulize hv hakuna Mwl huko kutoka mkoa wa KAGERA anayehitaji kuhamia kwao?