WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
TANGAZO NATAFUTA WAKUBADILISHANA NAE YEYE AJE CWT MIMI NIENDE CHAKUHAWATA, KAMA UPO NICHEKI INBOX TUYAJENGE
 
Mimi nakushauri ufuate tu utaratibu uliowekwa. Kinyume na hapo, jiandae kutapeliwa.
Kama huna mtu wa kubadilishana naye; andika barua ya kuomba uhamisho yenye anuani 5 pale juu kushoto.

Anuani ya Mkurugenzi wa kule unakoenda iwe juu kabisa, inafuatiwa na ya Afisa elimu unakokwenda, halafu Mkurugenzi wa Halmashauri yako, Afisa elimu wako, na chini kabisa iwe ya mkuu wako wa shule. Na wote hao wanatakiwa kukupitishia hiyo barua.

Ambatanisha pia nakala zifuatazo; Barua yako ya ajira, barua ya kuthibitishwa kazini, na kitambulisho chako cha kazi.

Wakikusainia hao wote, andika sasa covering letter ya huo umaisho wako na uipeleke Tamisemi ukiambatanisha na hiyo barua uliyo sainiwa. NB:- lazima uwe na sababu za msingi za kuhama ndugu mwalimu.
 
Asante sana mkuu, nilijua kuna uwezekano wa kuwakwepa hawa watu wa halmashauri ili barua itoke juu kwenda chini. Hata hvy nashukur kwa mwongozo ulonipatia
 
Fuata huu ushauri wangu. Hao vishoka wote waliokuwa wanafanya huo ujanja, hawapo tena pale Wizarani.

Siku hizi kuna mfumo mpya, ambao utakudaka mapema tu iwapo utatumia hiyo njia ya mkato. Usikubali mtu akurubuni kwa kumpa kiasi chochote kile cha fedha ili upate hicho kibali cha uhamisho kutoka juu. Utatepeliwa.
 
Shukrani sana kiongozi... Swali lamwisho kwako japo naomb unisamehe kwa kukusumbua, kati ya kumtafuta mtu wakubadilishana nae au kuomba kuhama bila kubadili ni ipi inaweza kuwa njia rahis kwa maana yakufanikiwa mapema zaidi?
Mtu wa kubadilishana nae naweza kumpata
 
Njia rahisi ni hiyo ya kumtafuta mtu wa kubadilishana naye. Ukishampata mtu wa kubadilishana naye uhakika ni mkubwa zaidi.
 
Mm nileenda Dodoma mwenywe nka FaNya mambo nkatoka kigoma huko motoni nkatud town

Kama unae ujasiri wa kuonana the biggish face to face try it
Labda ujasiri wako ulichangiwa nasababu nzito za kuhama ulizokuwa nazo hadi wakakuelewa.
Ungenisaidia kujua namna ya kuwa face wahusika ili nifanikiwe kama wew mkuu.
Nisababu zipi wanaweza kuzielew hadi wasihitaji barua?
 
Back
Top Bottom