Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAKA kula Maisha Hadi 101 Uwe utanolewa na kurudiashwa ndani happy Bon day Kaka mkuuSent using Jamii Forums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]KAKA kula Maisha Hadi 101 Uwe utanolewa na kurudiashwa ndani happy Bon day Kaka mkuu
[emoji173][emoji375][emoji419]Hangamaga nogi ntale o Aflika būgima [emoji1545]
Mbna unaandika kama unaliwaTANGAZO NATAFUTA WAKUBADILISHANA NAE YEYE AJE CWT MIMI NIENDE CHAKUHAWATA, KAMA UPO NICHEKI INBOX TUYAJENGE
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hongera kwa kuuona mwaka mpya. Mungu akujalie kila hitaji lako. Endelea kukua hadi uuone uzee wa kuanikwa juani.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu, nilijua kuna uwezekano wa kuwakwepa hawa watu wa halmashauri ili barua itoke juu kwenda chini. Hata hvy nashukur kwa mwongozo ulonipatiaMimi nakushauri ufuate tu utaratibu uliowekwa. Kinyume na hapo, jiandae kutapeliwa.
Kama huna mtu wa kubadilishana naye; andika barua ya kuomba uhamisho yenye anuani 5 pale juu kushoto.
Anuani ya Mkurugenzi wa kule unakoenda iwe juu kabisa, inafuatiwa na ya Afisa elimu unakokwenda, halafu Mkurugenzi wa Halmashauri yako, Afisa elimu wako, na chini kabisa iwe ya mkuu wako wa shule. Na wote hao wanatakiwa kukupitishia hiyo barua.
Ambatanisha pia nakala zifuatazo; Barua yako ya ajira, barua ya kuthibitishwa kazini, na kitambulisho chako cha kazi.
Wakikusainia hao wote, andika sasa covering letter ya huo umaisho wako na uipeleke Tamisemi ukiambatanisha na hiyo barua uliyo sainiwa. NB:- lazima uwe na sababu za msingi za kuhama ndugu mwalimu.
Fuata huu ushauri wangu. Hao vishoka wote waliokuwa wanafanya huo ujanja, hawapo tena pale Wizarani.Asante sana mkuu, nilijua kuna uwezekano wa kuwakwepa hawa watu wa halmashauri ili barua itoke juu kwenda chini. Hata hvy nashukur kwa mwongozo ulonipatia
Shukrani sana kiongozi... Swali lamwisho kwako japo naomb unisamehe kwa kukusumbua, kati ya kumtafuta mtu wakubadilishana nae au kuomba kuhama bila kubadili ni ipi inaweza kuwa njia rahis kwa maana yakufanikiwa mapema zaidi?Fuata huu ushauri wangu. Hao vishoka wote waliokuwa wanafanya huo ujanja, hawapo tena pale Wizarani.
Siku hizi kuna mfumo mpya, ambao utakudaka mapema tu iwapo utatumia hiyo njia ya mkato. Usikubali mtu akurubuni kwa kumpa kiasi chochote kile cha fedha ili upate hicho kibali cha uhamisho kutoka juu. Utatepeliwa.
Njia rahisi ni hiyo ya kumtafuta mtu wa kubadilishana naye. Ukishampata mtu wa kubadilishana naye uhakika ni mkubwa zaidi.Shukrani sana kiongozi... Swali lamwisho kwako japo naomb unisamehe kwa kukusumbua, kati ya kumtafuta mtu wakubadilishana nae au kuomba kuhama bila kubadili ni ipi inaweza kuwa njia rahis kwa maana yakufanikiwa mapema zaidi?
Mtu wa kubadilishana nae naweza kumpata
Labda ujasiri wako ulichangiwa nasababu nzito za kuhama ulizokuwa nazo hadi wakakuelewa.Mm nileenda Dodoma mwenywe nka FaNya mambo nkatoka kigoma huko motoni nkatud town
Kama unae ujasiri wa kuonana the biggish face to face try it
Asante San kiongoziNjia rahisi ni hiyo ya kumtafuta mtu wa kubadilishana naye. Ukishampata mtu wa kubadilishana naye uhakika ni mkubwa zaidi.
Andika barua tu ila nakushtua kwa herufi kubwa MUHESHIMU SANA YULE MTU WA MASJALAAsante sana mkuu, nilijua kuna uwezekano wa kuwakwepa hawa watu wa halmashauri ili barua itoke juu kwenda chini. Hata hvy nashukur kwa mwongozo ulonipatia