WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
hata Iraque wanauawana kilasiku lakini watu wanaishi na kupanga maisha yao ya kila siku
 
Natafuta mwalimu wa sekondari kutoka arusha, kilimanjaro na manyara wa kubadilishana nae kituo cha kazi . Mimi nipo iramba singida. Kwa mawasiliano email; elipokeamanase@gmail.com au elipokeamanase@yahoo.com au 0757606552.
 
mie niko olympio dar nataka kwenda kintinku Dodoma ama naputa tandahimba yupo wa kubadilishana?
Mkuu maarifa!! nasikia kintinku ni neno la kinyaramba huko singida, wajuzi wa mambo wananiambia kuwakintinku ipo kati ya dom na singida, ila haipo dom ipo singida kimipaka zaidi. But kama vp niPM nikupe abc ya mtu ambae

unaweza kubadilishana nae, maana kuna mtu anataka kuja dar from dom! Hata hivyo nasikia si lazima uhamie shule ya mtu alikotoka ila tu, unahamia sijui wilaya sijui mkoa, so like this mkuu maarifa!
 
haina haja ya kugugo fufu nmepta mara nying sana sana so napafahamu tatzo dar kuna ktegauchumi ndo knaanza kunlpa

Ok mkuu hollyman, ila uwe unaquaote basi mtu ili mtu apate notofication au MP ndo vizuri zaidi kujua somebody is on me!! Think umeelewa kiongozi!!
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi daraja la tatu wilaya ya lushoto Tanga natafuta mwalimu wa kubadilishana naye toka morogoro au dar wilaya ya temeke.0652837898
 
Nimepata ajira uwalimu kilimanjaro (siha) lakini nilitaka kufanya kazi morogoro.kwa yeyote anayetaka kubadilishana nami naomba tuwasiliane kwa simu namba 0656956610 au 0784052359.asanteni.
 
Mimi Alto Mwalongo (mwalimu mpya wa shahada 2013) nimepangiwa Bariadi-Shinyanga, naomba kubadilishana na mwalimu mpya aliyepangiwa Njombe vijijini, Njombe mjini, Ludewa, Mufindi, Rungwe na Mbeya vijijini.

Mawasiliano:0755092687/0782244777.
 
Mimi Alto Mwalongo mwalimu mpya wa shahada 2013 nimepangiwa Bariadi-Shinyanga naomba kubadilishana mwl mpya aliyepangiwa wilaya zifuatazo; Njombe vijijini, Njombe mjini, Ludewa, Mufindi, Rungwe na Mbeya vijijini.

Mawasiliano:0755092687/0782244777.
 
heshima kwenu wakuu .natafuta mwalimu wa kubadilishana naye mi nipo tabora mawasiliano kwa aliyetayari 0785854807
 
Funguka ueleweke vzuri, maelezo uliyoweka hapo juu hayana ushawishi. We unakimbilia kuweka no ya simu unafkiri nani akupigie?
 
Back
Top Bottom