WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni mwalimu nipo wilaya ya Tarime Mara, shule ya msingi,Naomba Kama kuna mwl wa kubadilishana naye toka Dar,Bagamoyo au Tanga plse ni PM
 
Aaa bana nifundishie bandungu zangu hapo. Nikija likizo nitakucheki, home ni hapo maeneo ya Marangu Hotel.
 
Walimu naomba tusaidiane hapa,dogo kapangiwa tabora vjjn!,amempata wa kubadilishana nae aende Mwanga Klm!,naomba kujua Hatua za kufuata,
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari katika manispaa ya musoma, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae vituo vya kazi toka manispaa ya morogoro, mvomero au popote katika mkoa wa dar es salaam na kibaha.

Namba yangu ya simu ni 0769750872. KARIBUNI MUSOMA KWENYE SATO + SANGARA.
 
waende Dar Ofisi za Tamisemi na barua zao za kubadilishana, zikiwa zimeadresiwa vizuri. ili majina yao yaingizwe kwenye web wakati wa marekebisho mengine hvi punde.
 
Kama kuna Mwalimu Mwenye Shahada wa Sekondari anataka kufanya kazi Mkoa wa Kagera Wilaya ya Karagwe tafadhali sana tuwasiliane. Awe anatoka Mkoa wa Morogoro, Pwani, Tanga, DSM, Dodoma, Njombe, Iringa na Mbeya. Kama unataka kubadilishana tafadhali nitumie PM
 
Natafuta mwalimu wa kubadiliashana nae k utoka mkuranga kwenda tanga manispaa
 
wewe unataka uende wapi??km unataka kuhama mkuranga tubadilishane uende bagamoyo mimi niende mkuranga
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo, wakutoka Tanga,Arusha au Morogoro na anahitaji kwenda Mwanza Ukerewe. Wasiliana nami 0753369921 au 0654 327440
 
Wadau mi nimepangiwa iringa natafuta mtu aliyepangwa mwanza au karibu na mwanza tubadilishane get me via 0753985758 au 0717846314
 
Niko manispaa ya Musoma, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka wilaya za morogoro mjini, moro vijijini, mvomero, kibaha au wilaya yoyote mkoa wa dar es salaam. tuwasiliane kwa namba 0769750872.
 
mimi
ni mwalim ipo almashauli ya kibondo shule ipo km 1 toka makao makuu ya
wilaya namba yangu ya sim ni 0786635312,nahitaji kutoka almashauri za
mkoa wa singida tu
 
Back
Top Bottom