Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Labda alimanisha wa Kisha kata lazima Kuna mikoa walio pass watakuwa wachache kuliko nyingineMkoa wa kimkakati akuna mana majibu ya written interview, watayaunganisha ya nchi nzima then watakata kwenye pass mark wanayoona kuwa watakuwa wamepata idadi kadhaa ya watakaoenda nao oral.
pasi na kujari mkoa Fulani wamepita wengi mkoa fulan wachache hizi sio ajira za afisa utendaji mitaa Kila halmashauri na matokeo yake.
Ata baada ya mkato oral watavuluga Tena kwenye kapo Moja matokeo ya nchi nzima.Labda alimanisha wa Kisha kata lazima Kuna mikoa walio pass watakuwa wachache kuliko nyingine
Yeye alisukumwa tu na mawazo yake kuhusu hiyo mikoa aliyoitaja wala si kingine na kwa kufanya hivi anawapoteza wengi. Mawazo yake ni hayo maeneo yatakuwa na waombaji wachache bila kujua hali ilivyo kwa ground na kwamba mkiwa wachache ni rahisi wengi kupita bila kujua mnaweza kuwa wachache lakini asiwepo hata mmoja wa kufikia cut off marks watakazoamua kwa kuzingatia ratio ya waliofaulu vs nafasi zinazogombaniwa.Labda alimanisha wa Kisha kata lazima Kuna mikoa walio pass watakuwa wachache kuliko nyingine
Vipi lindi au tanga au mtwara ?Hapo mkoa wa Kagera utoe kabisa kwenye hiyo orodha yako. Pia toa Njombe. Hivi unajua mkoa wa wala senene na Wilaya zake kwa upande wa ualimu na afya unagombewa kama maeneo ya majiji? Usiulize kwa nini bali subiri wafike kwenye usaili. Hiyo orodha yako ungeweka Manyara na Kilimanjaro toa Njombe na Kagera. Kingine matokeo ni jumuishi nchi nzima kama ulivyoona upande wa afya (assumption). Vipi kuhusu pass mark itakayochukuliwa kwa eneo husika?
Kwani mkuu wakati unachagua kuwa mwalimu ulitegemea utalipwa shilingi ngapi?..waweke mishahara ya kueleweka hata wakichuja ni yale yale TRA hakuna mafisadi, wazembe, Je wizarani... ukitaka kumkamua ngombe maziwa mlishe, na nikifanikiwa class naingia kwa wiki mara 3 siku zingine nipombe na mitkasi nyingine.
Wha if mkoa fulani ukakosa watu kabisa wa kwenda oral huko kwa somo fulani kwasababu ya waliouchagua wote kutokufikisha passmark ya 50% kwenye written.... nimewaza tu kama utaratibu na ujanja ndio huu uliotuelekeza hapa.Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.
Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.
Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.
Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:
1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma
Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.
Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.
Daaadekii, utapewa lawama kama alikua ashapata kazi,Wakuu kuna mtu nimeresetia paaaword alikuwa kasahau. Ila sasa account yake inasoma zero 0% yaani hajawahi kujaza kitu kabisa shida yawezakuwa nini
Haina chochote.Daaadekii, utapewa lawama kama alikua ashapata kazi,
Kwenye My Application inasomaje?
Oya acha utani utamkosesha mtu, ni hivi umereset password kwa Email ambayo sio anayotumia...Haina chochote.
Yaani ni kama hakuwahi jaza kitu inasoma 0%
Sasa email ndio alonipatia hiyoo. Afu si ingenambia email ishatumikaOya acha utani utamkosesha mtu, ni hivi umereset password kwa Email ambayo sio anayotumia...
Hio account sio hio ya mwanzo, narudia hio sio account ya mwanzo.
Kama una uhakika ulijaza taarifa zake na uliomba hadi kazi bc kuwa na amani, kila kitu kipo sawaHaina chochote.
Yaani ni kama hakuwahi jaza kitu inasoma 0%
Huyu sikumjazia mimi taarifa. Alitaks kuconfirm mkoa ndo akawa hajuii passwordKama una uhakika ulijaza taarifa zake na uliomba hadi kazi bc kuwa na amani, kila kitu kipo sawa
Hawa Ma graduate wana wenge, muulize ana email ngapi?, Ana dk 30 tuu za kuweka mambo sawa.Sasa email ndio alonipatia hiyoo. Afu si ingenambia email ishatumika
H ya kuchagua mikoa imebase kwenye kufanya usaili, ila kwenye kupangiwa shule unaweza kupangiwa mkoa huo huo au kuangukia mkoa wowote incase umefaulu halafu kuna mahali pengine unahitajika incase kwenye mkoa wako wamejaa watu kama ww.Wha if mkoa fulani ukakosa watu kabisa wa kwenda oral huko kwa somo fulani kwasababu ya waliouchagua wote kutokufikisha passmark ya 50% kwenye written.... nimewaza tu kama utaratibu na ujanja ndio huu uliotuelekeza hapa.
Kama ni ku confirm tuu mkoa, Hio account kama sio yake/halisi haina shida, maana usipo confirm wanaacha ile aliyokua amechagua kama Default option, kwahio ataona jina, kimbembe ni namba ya usajili.Huyu sikumjazia mimi taarifa. Alitaks kuconfirm mkoa ndo akawa hajuii password
Sawa, bado narudi pale pale. Kama aljjaziwa taarifa na kuomba kazi bc awe na amani. Sasa kama hakujaziwa taarifa yn alidanganywa bc ndo imekula kwake mwambie asubir wakat mwngn 😂Huyu sikumjazia mimi taarifa. Alitaks kuconfirm mkoa ndo akawa hajuii password