EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Atawatafuta wahusikaKama ni ku confirm tuu mkoa, Hio account kama sio yake/halisi haina shida, maana usipo confirm wanaacha ile aliyokua amechagua kama Default option, kwahio ataona jina, kimbembe ni namba ya usajili.
Swali langu ni je, cutting point ya oral ili kupata kazi itachukuliwa kimkoa husika au kitaifa ?H ya kuchagua mikoa imebase kwenye kufanya usaili, ila kwenye kupangiwa shule unaweza kupangiwa mkoa huo huo au kuangukia mkoa wowote incase umefaulu halafu kuna mahali pengine unahitajika incase kwenye mkoa wako wamejaa watu kama ww.
Sina uhakika sana ila nahisi itakuwa Kwa somo, mana ukisema iwe kimkoa/taifa ina maana kuwa watu wote wafanye usaili wa general na sio kulingana na masomo watakayofundisha.Swali langu ni je, cutting point ya oral ili kupata kazi itachukuliwa kimkoa husika au kitaifa ?
Mmeona sasa? Nimetoka kuandika hapo juu,Wakuu kuna mtu nimeresetia paaaword alikuwa kasahau. Ila sasa account yake inasoma zero 0% yaani hajawahi kujaza kitu kabisa shida yawezakuwa nini
Ety kajaziwa taarifa zake 😂 sasa wakati wote huo hajasumbuka kuangalia kama kila kitu kipo sawa, sasa hv ndo anahangaika 😂Mmeona sasa? Nimetoka kuandika hapo juu,
Kuna njitu ni za ajabu, kijana Graduate unapambana na ajira kesi za kufunguliwa acc, Kusahau password and the likes haitakiwi iwe sehemu ya makosa yako kabisa....
Hawa PSRS inabidi Interview zijazo ziwe kwa computer, unaingia pale hata unahangaika na ku login, unaambia simama achia meza, Wapate wanaojielewa.
Huyo achana naye, aombe kwenye mfumo aonekane.
Ukute hana hata account, alifunguliwa account ya Google.Atawatafuta wahusika
😁😀😂Ukute hata hana Acc anasubiri interview......
Ndiyo majibu ya utafiti wako etii?..uliufanyia wapi hivi?Elimu yetu imechangiwa na walimu wabovu kupelekwa makazini bila mchujo
Haya maneno yameniliza sana 😭Ukute hata hana Acc anasubiri interview......
Alafu unalikuta ni shabiki la Yanga.. pia muumini wa Mwamposa.Mm akaunti yangu ya ajira portal niliijaza mwnyw hadi ikafika 80% yn n vitu vichache sana niliuliza tena humu humu JF na nikamaliza yote mwnyw mpaka ikafika 95%.
Kuna baadhi ya mambo nikiona kijana hawezi kuyafanya hua nashangaa sana ikiwemo hilo la kujaza taarifa ajira Portal.
Kuna vijana ety hawajui kuhusu taesa, ajira Portal, hana kitambulisho chcht halafu huyo huyo n jobless na n mhitimu wa chuo 😂 lkn huyu huyu humwambii kitu khs Instagram na tiktok
Deadline imefika ila naona bado ana nafasi ya kupambania kombe maybe mpaka asubuh mana system bado inaruhusu, japokuwa kwenye suala la ku-comfirm mkoa sio ishu sana incase mikoa ambayo ipo default pale ikiwa n Ipo ndani ya anapoishi.Hawa Ma graduate wana wenge, muulize ana email ngapi?, Ana dk 30 tuu za kuweka mambo sawa.
Bora hata angekuwa muumini wa Mwamposa, unakuta n wa kwa kiboko ya wachawi 😂 yn n hasara juu ya hasaraAlafu unalikuta ni shabiki la Yanga.. pia muumini wa Mwamposa.
😂😂😂 sasa atafanyaje interview na amesahau pass word?Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa
Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.
Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.
Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
najidanganya!! Asipopatikana alioyefaulu usaili nafasi zitatangazwa tena!!Kwa huu uhaba wa walimu wa Mathematics na Physics hivi kweli si watawapitisha tuu walimu wa hayo masomo.Kwanza ni wachache sanaa na ni adimu na mahitaji yake ni makubwa sana...
Masomo ya Sanaa na biashara nadhani ndo huko kuna kazi
Bora uwaeleze wajue mapema kuwa kuna viwangi vya ufaulu maana utumishi hawajali mmekuja wangapi kwenye kituo bali wanajali ufaulu tuu..asichojua kuwa hata kituo chote cha usaili mnaweza feli wote….! Halafu swala la mkoa ni mapendekezo yako tuu na hii si sandakalawe bali ni kufaulu kwanza kwa hiyo atakaye faulu ajiandae kwenda popote!Ata baada ya mkato oral watavuluga Tena kwenye kapo Moja matokeo ya nchi nzima.
then watapanga vituo vya kazi kulingana na pass mark Yao wanayoitaka na wengine watakaofikia na kwa bahati mbaya nafasi ni chache watakaa bench la database.
Hapa kunauwezekano wa kupangwa kazi mkoa tofauti kabsa ya ulioomba
Cut off za marks zitatokana na ufaulu wa nchi nzima wa somo husika..lazima ufaulu kwanza kwa hiyo swala la mkoa ni baada ya kupata waliofaulu vizuri….jiandae kwenda mkoa wowote kama utafaulu! Mnaweza mkawa kagera mkafeli wote haimaanishi mtapitishwa tuu bali waliofaulu ndio wataletwa hapo kagera…! Kwa hiyo cha msingi ni watu kufaulu kwanza .Swali langu ni je, cutting point ya oral ili kupata kazi itachukuliwa kimkoa husika au kitaifa ?
Kwa hili sikupingi ndgu, kuna tatizo mahala, mtu anaenda kupigwa zaidi ua laki stationary kwa kazi anayoweza kuifanyia kwenye simu yake aliyonunua zaidi ya laki 4 na hajui matumizi yake.Kuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa
Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.
Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.
Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
Shangaa, mimi kuna demu alikuwa anasomea ualimu nimemfanyia maombi ya ajira ya polisi na ameitwa kwenye usailiKuna jitu Eti leo Linanipigia Nilisaidie namna ya Ku Confirm mkoa,
Namuuliza umesahau? Anasema mtu wa Stationery ndio alinifungulia kila kitu, nilimsaidia ila nimemshangaa sana, mwambie tiktok na Snapchat sasa
Mwingine ka upload Vyeti, Profile picha na CV akajua ndio ashaomba kazi anasubiri interview.
Kuna mijitu ni mizembe sana, Binti wa Miaka 28 Una smartphone, Email yako hujui, Password ndio usiulize, Namba aliyotumia kufungulia anakuambia hajui aliyemfungulia alitumia ipi.
Hii nchi wasomi wapumbavu ni wengi mno,
Hao wote ni Degree
Hapo watakao ajiriwa ni wale watakao kubari kusaidia ccm kuiba kura. Yaani wale wenye kadi za ccm zote ndio watakao ajiriwa. Dawa ni kuondowa shetani ccm ili tujenge nchi kwenye misingi ya haki.Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.
Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.
Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa 11,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.
Mikoa ya kimkakati Kwa àmbao watataka kupita kwenda round ya Oral NI:
1. Mtwara
2. Lindi
3. Ruvuma
4. Rukwa
5. Katavi
6. Kagera
7. Njombe.
8. Kigoma
Watakaoenda Oral Marks ndîo zitawabeba. Utachaguliwa Mkoa wowote.
Leo ndîo mwisho wa kuthibitisha mikoa àmbayo utakuwa comfortable nayo.