Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Utajiri ni namna unavyoamua kutumia pesa.Wapo walimu matajiri sana wana hadi kampuni zao zao kwa hiyo kila kundi lazima kuna rank hata uliko wewe siyo wote mna hela.
Hata wakulima,maaskari,wanasheria hawapo sawa.
Ndiyo maana yake

Mbona tuliofanikiwa tupo mbona hamtusemi!?
 
Oya [emoji23]
 
Unadhani ukijificha huku mtandaoni asili haikuoni???
Wewe nawe mwalimu tu huna jjipya, unataka walimu wenzio wapambane wewe upate mseleleko.
Jianze upya.
Anafikili kamseleleko kanakuja hivi hivi bila kutoa jasho
 
Utajiri ni namna unavyoamua kutumia pesa.Wapo walimu matajiri sana wana hadi kampuni zao zao kwa hiyo kila kundi lazima kuna rank hata uliko wewe siyo wote mna hela.
Hata wakulima,maaskari,wanasheria hawapo sawa.
Umetoa point ya kitoto sana..hakuna mwalimu aliyetajirika kwa kutegemea 500k..nakataa hakuna.

Mimi mkulima lakini nikiangalia kwenye eneo ninaloishi,hakuna mwalimu wa kunifikia. wanaungaunga tu
 
Yule kijana siyo bure! atakuwa amewahi kufanyiwa kitu kibaya na mwalimu. Na ndiyo maana amefikia mpaka hatua ya kutamani kuwa mwanamke.
Dah [emoji22]yani moja ya watu niliokuwa nawaona wapo active ni Tate Mkuu ila nashangaa naww umeungana na wajinga

Tate siwewe pia unasemaga walimu wana maisha magumu
 
Umetoa point ya kitoto sana..hakuna mwalimu aliyetajirika kwa kutegemea 500k..nakataa hakuna.

Mimi mkulima lakini nikiangalia kwenye eneo ninaloishi,hakuna mwalimu wa kunifikia. wanaungaunga tu
Wanaungaunga Kwa uvivu wao, nakuuliza hakuna walimu waliotusua katika mazingira Yako!?

Kama hawapo njoo huku nikuonyeshe
 
Kifupi hueleweki suala la madai na uhamisho kila kada wanadai ila umekomaa na walimu tu
 
Mkuu kuna uzi nilishaleta humu nikielezea kazi za hovyo kwenye nchi hii.
Mwalimu,polisi,askari magereza..hawa ndio tatu bora na ukumbuke hapa tunawaongelea waajiliwa na maisha yao..
Ukisema maisha magumu yapo kwa kila mtu unatoka nje ya point
Za ovyo kivipi mkuu?
 
Ukishazoea kunyanyaswa na kunyimwa haki zako kwa muda mrefu inafikia muda unasahau hayo manyanyaso na haki zako kwa hiyo unaona sawa tu !

Hata wana waizrael walipokombolewa na Musa kutoka utumwani ,walipofika jangwani wakaanza kumwambia Musa kuwa ni bora angewaacha kulekule kwa pharaoh ambapo walikuwa wakipata ugali wao wa kila siku licha ya kutaabishwa mno .
 
Dah [emoji22]yani moja ya watu niliokuwa nawaona wapo active ni Tate Mkuu ila nashangaa naww umeungana na wajinga

Tate siwewe pia unasemaga walimu wana maisha magumu
Tate Mkuu yupo sahihi,
Umefanya kosa kubwa la kimkakati kutafuta kick na views,replies na mentions Kwa kutamani kuwa mwanamke
Umefanya kosa kubwa la kimkakati
 
Kweli kabsa walimu wanaheshimika sna ata mitaani walimu ata kumkopea bidhaa ni rahisi sana, kwa sababu unajua ana uhakika wa kipato, kwenye makanisa wanachaguliwa viongozi na hata wakistaafu wanaaminiwa sna kwenye mambo mbalimbali ya kijamii , shida inakuja kwa hawa walimu uchwara wabakiji na wavuta bangi , hao wachache wa ovyo wanafanya walimu waonekane wa ovyo kwa sababu tu walimu ni walezi wa watoto wetu , ebu fikiria pale unaposikia mlezi wa mwanao amelawiti mtoto , apo lazima wazungumziwe sna.
 
Hao walimu wabakaji,wavuta bangi na wanaotamani kuwa mashoga ndo hao akina mpwayungu village
 
Muache kuiba kura kwa malipo kiduchu.
Waalimu wa nchi hii ni wasaliti sana kwa kura zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…