Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025?? Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Nitakuwa wa mwisho kuamini kazi ya ualimu inaweza kumpa mtu maisha bora ya milo mitatu na usafiri binafsi wa uhakika. Imagine mpaka Mei mosi inafika hakuna mwalimu au kundi lolote lililosimama kutetea maslahi Yao

Inaumiza sana kuona mamluki wenye mavazi ya cwt kuvaa mabango ya kinafiki kumsifu Rais eti Asante Kwa vishikwambi 2025 umepita, who says? Walimu ivi kishikwambi ndokifanye umpe Rais Kura 2025??

Kuna baadhi ya walimu hamko serious mimi ningetegemea siku ya Mei mosi mfanye peaceful demonstration lakini hola mnaenda kuimba manyimbo ya kizee ya kumsifu Rais tu huku mnalala njaa mnanuka majasho ya shida madeni tupu

Ngoja Nile nyama narudi View attachment 2621499
Wewe niliomba wakuondolee kifungo kwa sababu najua ukilipoti kazini hutaendelea kuwadhihaki waalimu wenzio
 
Kabisa Kiongozi lakin anahoja ya msingiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹
Tumpe Nafasi Aseme Tujitafakari Lori Liliponzwa Na Mtelemko

Ukweli Utaifanya Serikali Ifanye Jambo
 
Kinatema Che Che!!!
Kennedy
Tumpe Maua yakeπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ Mpwayungu Village Chuma kinajua kusimamia hoja..ata akipingwa na watu 100 yeye habadili muelekeo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹sema kuna thread yake moja alijua kutuzingua

 
Kennedy
Tumpe Maua yakeπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ Mpwayungu Village Chuma kinajua kusimamia hoja..ata akipingwa na watu 100 yeye habadili muelekeo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹sema kuna thread yake moja alijua kutuzingua

Mpwayungu Village
Anakatia Chini, Msimamo Ule Ule Hayumbi
 
Kwani hujasikiliza hotuba ya Raisi?Uache uongo,hapo sili Milo 3?
 

Attachments

  • IMG-20230508-WA0009.jpg
    IMG-20230508-WA0009.jpg
    69.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom