mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
hili ni janga lingine
unajua mtoto yupo na mwalimu wake kumbe ana fanyiwa ufuska
unajua mtoto yupo na mwalimu wake kumbe ana fanyiwa ufuska
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactMwalimu heb fungua miradi itakusaidia kuwa busy na kufatilia maisha ya watu. Haya unayoleta hapa hayana ushahidi. Na nakuhakikishia hayawez kumpeleka mwalim popote sio kwa kupindisha sheria.Ila kingine ujue haya ni maisha mwalim unayetaman afungwe ana ndugu na huenda ana mke na watoto wanamtegemea. Hao viongozi unaowaona Kama wanataka kupindisha sio kupindisha Ila ni wana busara. Kama wangekua wanaamua kwa akili zako basi hapo shuleni ungebaki wewe na kina madam tu. Ila huwez kuamua hivyo mpaka ushahid ujitosheleze, muda wa kukaa kufatilia Jambo moja watu hawana, posho na mafuta ya kuja kila siku kukusanya taarifa ni changamoto nyingine. Mwalimu huyo akihamishwa hapo teaching load itaongezeka kwenu mnaobakia
Wewe ni mwanaume jifunze kukaa na Mambo na pia unaweza kuongea na wenzio kishkaji wakachukua tahadhari, wanawake mtaani wapo kibao na hata km kwa mwanafunzi bas atafute mazingira mengine sio shule maana anachafua image ya shule. Mkuu hao watoto watagongwa tu hata Kama hao walimu wakinyongwa. Kama mtoto hajitambui atagongwa tu. Kuna wanaume wanapenda Totoz mtaani, Kuna vibosile wafanyabiashara na watumishi wengine, mabrazamen wa kitaa mtoto asipojitambua atagongwa tu. Pole Sana hiyo kazi unayotaka kufanya hutaona manufaa yake, jikite kwenye maisha yako
AuthorNani huyu?
Nan huyu jomony????
sasa ningekuwa mimi ningeweka kabisa na ushahid watu waone na kama ni kunyea debe wakanyee uko
wajinga sana hao, watu wa hivyo sio wa kuwaonea huruma sababu wao wenyewe hawajionei huruma
Heb usituvunjie heshima lakin mm namjua aliyepost hapa ni visa tuu hivi hamna ukwel wowote isitoshe alikuwa anahudhuria vikao vyote leo kajifanya kuleta hapa akilenga kumhari ia mtu
Ni wa kupuuzwa huyu
Majungu tu haya.
Hiyo issue ya Teacher na dent kuishi kinyumba niliikuta hapo mwaka 2012 na binti alikuwa bado anasoma.
Hiyo ndoa bado ipo?
BTW:Hiyo Sec ipo getini mwa Butimba TTC,kwa nini wasiopoe wanachuo? Au wamezoea vya kunyonga?
hili ni janga lingine
unajua mtoto yupo na mwalimu wake kumbe ana fanyiwa ufuska
Mapazia maabara ...wakichanganya madawa yakawashinda ukatokea moto usalama unakuwajeTUKIO HILI LILITOKEAJE?
Kwa ufupi walimu hao wawili ofisi yao ni maabara ambayo ina magrill na mapaazia mazito.
Siku utakapo zaa binti wa kike ndyo utajua nn mleta mada kaleta
Naunga mkono hoja uchunguz ufanyike
Wanaojibu kejeli juu ya bandiko hili weng n watoto wasio na familia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jamaa majungu hayakusaidii na hayana tija, usitake kuharibia maisha yao sababu ya utashi wako na wivu wa kipumbavu, kama kweli ulikuwa na ushahidi na umeona yamefanyika umeshindwa nini kwenda kwenye vyombo husika ukatoe ushahidi au ukafungue kesi?Leo hal ilchafka skul tang asbhi....btmba btmba
Jamaa majungu hayakusaidii na hayana tija, usitake kuharibia maisha yao sababu ya utashi wako na wivu wa kipumbavu, kama kweli ulikuwa na ushahidi na umeona yamefanyika umeshindwa nini kwenda kwenye vyombo husika ukatoe ushahidi au ukafungue kesi?
Unatuletea humu sisi huu utumbo wako tukusaidie nini? nini umekipata mpaka sasa? umenufaika na nini? Jua lilishazama tupe update basi Mkuu kafukuzwa na ushapewa barua? kama we ni mwanume bila shaka ni shoga na unabinuliwa nyuma, lakini kama wewe ni mwanamke, hao walimu uliowataja huenda umekuwa ukijiuza kwao na wamekukataa, go to hell F**k off your ass!
I bet huyo bwege ni mwalimu tena wa hapohapo Butimba.Jamaa majungu hayakusaidii na hayana tija, usitake kuharibia maisha yao sababu ya utashi wako na wivu wa kipumbavu, kama kweli ulikuwa na ushahidi na umeona yamefanyika umeshindwa nini kwenda kwenye vyombo husika ukatoe ushahidi au ukafungue kesi?
Unatuletea humu sisi huu utumbo wako tukusaidie nini? nini umekipata mpaka sasa? umenufaika na nini? Jua lilishazama tupe update basi Mkuu kafukuzwa na ushapewa barua? kama we ni mwanume bila shaka ni shoga na unabinuliwa nyuma, lakini kama wewe ni mwanamke, hao walimu uliowataja huenda umekuwa ukijiuza kwao na wamekukataa, go to hell F**k off your ass!
I bet huyo bwege ni mwalimu tena wa hapohapo Butimba.