DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas mistress anashikisha wotee huo uchafu mjisikie vizurii. Woiiiih
This is not right. Damu ni takataka hatarishi. Kwanza nahakikisha hawa walimu wanakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa hela zangu wenyewe ili wajinga wengine wajifunze


Hili nataka liwe somo kwa wajinga wengi walio humu ndani
 
Kati yako na mimi nani mpumbavu?

Kama ulienda shule basi ulienda kusindikiza wenzako. Kama kichwani kwako umeona kumshikisha mtoto pedi ya damu ni sahihi. Basi unahitaji msada wa ziada

Je Kama huyo aliyetupa pedi ni muathirika wa ukimwi? Unawahakikishiaje wengine usalama wao

Kwa nini uadhibu shule nzima kwa kosa la mtoto ambae hajulikani. Wote walitupa pedi chooni?
 
Wanashika wote ili asitokee mwingine akarudia, na kunakua hajulikani nani ndo alitupa hiyo pedi.

Hivyo adhabu inahusisha wotee.
Hivi ikitokea mtu kanya hapo ulipopanga hajasafisha, unaona sawa wewe uitwe kushika yale mavi kama adhabu ili siku nyingine isijirudie?

Dunia ina mambo
 
Yani kama ningelikuwa na mtoto asoma hapo halafu aniletea habari kama hizo,aiseee hao walimu WANGELIJUTA KUZALIWA.
 
UMEROPOKA SANA NA UMELETA MAMBO IRRELEVANT.
Mtu ambaye hakutumia busara ni huyo mwalimu ambaye kashikisha watoto pedi ilotoka chooni.
Kuna adhabu mbadala ambazo walimu wangezitumia kulikomesha hilo.
-Kuokoteshwa takataka ni usafi.
-Kufagilishwa shule ni usafi.
-Kudeki vyoo ni usafi.
Hivi vitu unafananishaje na KUWASHIKISHA WATOTO PEDI YENYE DAMU YA HEDHI ILOTOKA KATIKA SHIMO LA CHOO!?
Unajua hilo kiafya limekaaje!?
Unajua ni maradhi aina ngapi unaweza ukazalisha kwa kitendo hicho!?
Walimu wangetumia adhabu kama zifuatazo;
-Viboko vya kutosha.
-Adhabu ya kudeki vyoo kila mara.
-Kuwaita wazazi na kuwachangisha hela za kuzibua vyoo ambavyo watoto wao wameviziba.
Hiyo ndio busara.
Inaonekana WEWE SHULE NDIO HAIJAKUSAIDIA.
Yani ningekua nina mtoto hapo hao shule nzima ningetia ndani na kesi nzito juu.
 
Ni kawaida ya watu walio na maarifa na busara fupi,huwa wanaona njia sahihi ni matumizi ya nguvu badala ya akili kama wewe na hao walimu.
 
This is not right. Damu ni takataka hatarishi. Kwanza nahakikisha hawa walimu wanakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa hela zangu wenyewe ili wajinga wengine wajifunze


Hili nataka liwe somo kwa wajinga wengi walio humu ndani
Hawajui kwa hizo damu zilizoganda kama hiyo pedi ilitumiwa na mwenye virusi vya HIV wanafunzi wanaweza kuambukizwa.
Damu ni taka hatarishi SAANAAA TENA SAANAAA.
Angewapa vifaa na kuwaamuru wazibue vyoo nisingelalamika,maana wamepewa vifaa na wanafanya usafi kurekebisha walichokifanya.
Ila kumshikisha mtu pedi ilotumika tena imetoka kwa shimo la choo hapana.
 
Hii shule inaitwa Rasesa Secondary School, iko Rawia Marangu. It's a government school
Ndio maana kuna utofauti wa wanafunzi wanaosoma English medium na Kayumba.
English medium huwa wanakupaga psychological punishments ambazo zinakujenga kiasi unajirekebisha na kuwa mwalimu ama muangalizi wa wenzako.
Huwa hawatumii nguvu,ila hizi shule za serikali wanaona nguvu ndio kila kitu.
 
Unachomfundisha mtoto shule ndio muongozo wa maisha yake. Ukiona mtu anatetea ujinga kama huu unaweza mlaumu bure kumbe ndicho alichotoka nacho shule

Kwa nchi za wenzetu hawa walimu lazima wachezee mvua jela.

Mwalimu jinga hawezi kumtoa mtoto ujinga. Serikali itazame hili swala kwa Nicholas la tatu
 
Nilisoma shule moja iko mikocheni aisee hakuna mwanafunzi anayechapa fimbo mpaka namaliza six

Ila pia Nilisoma shule ya jeshi, fimbo zilikuwa kama salamu.

Ila kuhusu discipline shule ya private watoto wanajiendesha kama wako chuo. Yani ukikosea home suspension, utajua na mzazi wako

Malezi anayopata mtoto anakua nayo chunguza sana hili
 
Mie nashukuru nimesoma shule za aina zote hizi mbili.
Nilipomaliza la 7 nilichagua kusoma government Temeke sekondari,niliona utofauti sana,kwanza walimu ni watu wa matumizi ya nguvu,busara hawana pia ni wakandamizaji.
Wanafunzi waoga,hawajui kujitetea na pia hawafahamu haki zao hata wakifahamu ni waoga kujitetea kisa uoga wa walimu.
Niliwanyoosha pale Temeke sekondari mpaka naondoka walimu walisema kweli tulipata mwanafunzi mtukutu.
 
Mkuu njoo PM tumalizane hapa tutafaidisha wengi Sana maana ulivyonikimbilia utafikiri mi ni Baba Ako wa kambo, anyways
Kwanza utambue sijakubaliana na hiyo adhabu na nilimjibu mtoa mada kulingana na namna alivyopresent hoja yake "Kishangingi" sana

Sasa Kwa namna ulivyoanza Kwa kuandika tu najua siwezi kuumiza akili yangu kutetea hoja yangu ila ni mtu unaonekana una visasi na "walimu" maana kauli yako ya mwisho imekaa " kigigy money" sana au unafkiri kupeleka watu polisi ni simple tu kama unavyopokeaga Nyama kupitia mlango wa Uani hapo Kwa Shemeji yako eeh?
Kama UALIMU ni simple kama unavyoona wew nenda kawafunge hao Walimu alafu uanze kuwafundisha wew hao watoto. Utanikuta mropokaji nimekaa pale

Mnawaonea sana Walimu Kwa kua ni wanyonge ila sijawahi sikia hata Mmoja ana wapongeza wanapofanya vizuri zaidi ya kuwazodoa daily.
Anyways pole kama nimekuvunjia heshima, ila kama umemind PM yangu Iko wazi unaweza Kuja nikushughulikie maana nna mnemba wa kimataifa hauna kazi mchana huu
 
Shule nyingi wanatumia nguvu sana hata kuwakusanya watoto kama mang'ombe. Mwanafunzi anamaliza shule mweupe kichwani


Leo hii unaona mtu kamaliza chuo, unakuta kasomea biashara. Cha ajabu hata ukimuliza una wazo gani la biashara hajui.
 
Collective responsibility. Walimu wapo sawa. Lazima watoto wafundishwe adabu.
 
Futa kauli yako ya kureport kishangingi. La sivyo

Jifunze kujibu hoja uache kushambulia watu au kuwatukana wakubwa zako.

Sio wa njaa kama unavyofikiria we kijana. Hopeless
 
Unaropoka as always.
We una uhakika gani kama sikuwahi kufundisha!?
Una uhakika gani kama siwapongezagi walimu!?
Hii ni dalili ya mtu ambaye mfupi wa maarifa na busara/hekima.
Niliwahi kufundisha shule inaitwa Almustaqiim sasa hivi inaitwa Al nahdhwa Temeke pale kwa Aziz Ally.
5&6 kipindi hicho ndio natafuta maisha niendelee kujisomesha kozi yangu ya Medicine.
Sikuwahi kuinua mkono kumchapa mwanafunzi,hadi leo ukipita ukiuliza pale mwalimu Kippaya alikuaje watakwambia.
Na watoto walikua wananielewa vibaya mno.
Mtu huelekezwa kwa upendo na busara sio nguvu.

Sina haja ya kwenda PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…