sasa huyo mzazi sio, ndio hao wanaoharibu watoto wao, mimi ukinambia jambo zito kama hilo sitamkingia kifua japo n mwanangu lakini lazima nikaye chini niongee naye aisee dunia ina mengi2021 nlikua na form 4 class....kijana mmoja ambae alikua ni HIV+ inasemekana anamkula binti class mate nlijisikia huruma nikamuita mama wa binti nimamwambia ongea na binti yako ni 1,2,3 .....mzazi anajifanya oohh mwanangu ni bikra, bikra ya nyk πππ
sasa ndio huyo mtoto, mwalim ananambia hasikii sana yan hatulii hata kidogoKuna watoto ni kama wana mashetani,yaani kuchangamana na wenzao hawawezi dakika mbili mara kamasukuma mwenzake,mara kamuuma,mara anapora vitu vya mwenzake.
Chanzo ni malenzi ya kishenzi ya wazazi wao.
Na sii huwa kama watoto π€π€π€π€π€kuna siku tulikua kwenye kikao jamani nilisena hawa walim wa awali waheshimiwe sio siri mimi nisingeweza dakika mbili kasimama kaenda kuwatuliza hatulii
Wazazi wengine akili zao huwa wanazijua wenyewe.....na mie nikishamuona mzazi ni dizaini hiyo mambo yake namuachia mwenyewesasa huyo mzazi sio, ndio hao wanaoharibu watoto wao, mimi ukinambia jambo zito kama hilo sitamkingia kifua japo n mwanangu lakini lazima nikaye chini niongee naye aisee dunia ina mengi
yan mheshimiwe sana nyie ndio mnaotoa hao mawaziri mana ndio mliwafundisha namna ya kushika penseli mpaka mtoto akaweza, sikufichi siku ya kwanza tunaanza homework nilijua nitaua madaftar ya shule zimenyooka nyumbani hajui aanzaje aishie wapi had nikawa najiuliza huyu mtoto ukute shule anaandikiwa asbh nikamwambia mwalim wake naoba nakata tamaa mtoto kuja shule homework tunapigana akanielekeza sasa hivi tunapeta hakuna kusumbuana ila aisee mnakaz sana hongereniNa sii huwa kama watoto π€π€π€π€π€
Haya mambo haya basi tuu.
Sasa kupata wazazi waelewa kama nyie ni mara chache sana ila ukweli upo hivo sometimes tunapitia magumu
hao ndio wanajiona wamejifungua watoto sie wengine hapaba yan hujikuta wao ndio wana uchungu sanaaa wakat anaeleweshwa sasa kuna siku atakuja kujutia, hata hivo sisi mama ndio tunaharibu sana watoto wetu kwenye makosa kama hivo unamkingiaje kifua?? yan naona usiku mzima tungekua na kikao n mwendo wa kuongea na stikiWazazi wengine akili zao huwa wanazijua wenyewe.....na mie nikishamuona mzazi ni dizaini hiyo mambo yake namuachia mwenyewe
Tatizo wazazi wanajionaga wenyewe ndiyo wanajua kulea kuliko walimu..wakati watoto hao hao wameshindikana huko nyumbani. Tuwaamini walimu but pia kama Kuna changamoto muitatue kama wazazi na siyo kulaumiana.mkuu kwa hiki ninachokiandika hapa nina uhakika 95% huyo mtoto hayuko sawa mana hata hao wazaz wao husema wakat mwengine ningekua simfaham hata isingenifikirisha
nawatisha waache kupigana, wakiendelea naondoka eneo hilo , mimi ni mwalimu nachojua ni kufundisha darasani masomo , haya ya tabia mzazi unahusikamkuu, wewe ni baba au mama wa mtoto wa mtu, siku moja atakua huyo mtoto tapeleka mwanae shule pengine yakawa haya mtakuja mlaum nani?? mimi sikatai mtoto tabia zake mzaz ndio anahusika kwa namna zote ila akiwa shule ni jukumu lako, sasa kuna watoto wanapigana mpaka kuumizana kutoana dam utasemaje??
wazaz wa huyu mtoto wanajua wenyewe lifestyle yao sababu kuna siku wakitibuana lazima watoleane siri nzito nzito niko nao jirani tunaonana tunaongea na wanajua ninajua lakini sijawah kuhoji hayo hayanihusu ila labhuyo mtoto wao walipaswa wakaongee na walim wao walim ndio wangejua namna ya kuish na huyo mtoto akiwa shuleni hilo ndio hawakulifanya kimya kimya tena hata siku wanataka kumpeleka huyo mtoto hapo shule abcd za shule na ujumla walikuja kuniuliza mm na nikawaelekeza wapi waendeTatizo wazazi wanajionaga wenyewe ndiyo wanajua kulea kuliko walimu..wakati watoto hao hao wameshindikana huko nyumbani. Tuwaamini walimu but pia kama Kuna changamoto muitatue kama wazazi na siyo kulaumiana.
nny
nawatisha waache kupigana, wakiendelea naondoka eneo hilo , mimi ni mwalimu nachojua ni kufundisha darasani masomo , haya ya tabia mzazi unahsika
sijakataa ila wewe mwalim akiwa shule unaplay vipi part yako kwa mtoto asiesikia?? kwamba mimi nafundisha atajua mwenyewez wewe ni aina ya wale walimu wa mimi nina shida gan mwisho wa siku mwisho mwez hela yangu inaingia utajijua na baba yako s ndio??
tangaa
Aah wazazi kwa kuwatetea watoto sasa, huwa wanahisi sijui hatuwapendi watoto wao na tunawasingizia!! Mtoto anakiri kashakulwa na midume kibao na kuchoropoa mimba tatu ila mzazi anakomaa mwanae ni bikraπππ2021 nlikua na form 4 class....kijana mmoja ambae alikua ni HIV+ inasemekana anamkula binti class mate nlijisikia huruma nikamuita mama wa binti nimamwambia ongea na binti yako ni 1,2,3 .....mzazi anajifanya oohh mwanangu ni bikra, bikra ya nyk πππ
asante sana wewe umenielewa, mimi niliukuta ugomvi mwalim yuko busy na sim yake nikajiongeza huyu itakua kishazoea haya mambo lakini mpaka wanafikia kuumana lazima utasikia kelele sio za kawaida huyu mwalim nilifanya kumgutusha mimi kuingia, aisee poleni sana wazaz tukishirikiana na nyie mambo yataenda, walim hawana shida ya kumuanika lakini n kama alert na wajue namna tu ya kukaa naye akiwa shule na wawe wanamuangalia kwa umakini zaidiUmenikumbusha kuna kijana alikuwa +, sasa ukaibuka ugomvi wasichana wanne wanagombana kisa yeye. Kwakuwa nilikuwa najua status yake niliumia sana. Kumuuliza akadai "sikuwatongoza walijilengesha, acha tu waupate maana hata mimi sikupenda kuzaliwa nao".
Sijui kama wale mabinti waliukwaa au la. Na sijui kama baada ya kuhitimu aliendelea kuusambaza au la!!
Walimu tuna taabu sana, sasa hapo unawalinda vipi hao wanafunzi? Manaa huwezi kuweka wazi status ya mwenzao. Na sio muda wote utakuwa ukishuhudia yanayoendelea. Tena hao wadogo ndio ukigeuza mgongo tu....."one mistake, one goal". Its not easy.
hata mitaani wapo watu wanamjua mienendo lakini mzazi anamkingia yapo hayaAah wazazi kwa kuwatetea watoto sasa, huwa wanahisi sijui hatuwapendi watoto wao na tunawasingizia!! Mtoto anakiri kashakulwa na midume kibao na kuchoropoa mimba tatu ila mzazi anakomaa mwanae ni bikraπππ
Ni kweli kabisa yaani unayoongea ni correct.yan mheshimiwe sana nyie ndio mnaotoa hao mawaziri mana ndio mliwafundisha namna ya kushika penseli mpaka mtoto akaweza, sikufichi siku ya kwanza tunaanza homework nilijua nitaua madaftar ya shule zimenyooka nyumbani hajui aanzaje aishie wapi had nikawa najiuliza huyu mtoto ukute shule anaandikiwa asbh nikamwambia mwalim wake naoba nakata tamaa mtoto kuja shule homework tunapigana akanielekeza sasa hivi tunapeta hakuna kusumbuana ila aisee mnakaz sana hongereni