Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Hata akijiendeleza na kupata degree bado anakuwa na akili zile zile za form four aliyefeli tu
Wewe pale......primary school ulifundishwa na nani?Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k
Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi
View attachment 3325879
Dunia inabadilikaWewe pale......primary school ulifundishwa na nani?
UongoHuwezi fundishwa na mtu aliyefeli ilihali watoto wengine wanafundishwa na watoto waliofaulu ndani ya nchi hiyo hiyo sio sawa
Kwel kabisa,hili nimeshalionaWatu wanaamini kuwa na elimu kubwa ndio uwezo wa kufundisha. Kuwa na elimu kubwa ni kitu kingne na kufundisha Nako ni kitu kingne,,,
Dunia ya Leo ni tofauti na mwaka 2010, 2005 au 1990Cha kushangaza mtoa post alifundishwa na huyo anayesena alifeli.
Degree zenyewe za saivi sio degree mkuu kachunguze mtu aliyemaliza degree umuoneDunia ya Leo ni tofauti na mwaka 2010, 2005 au 1990
Duuuu wewe kwa hizo ulizonazo utakuwa umezakiwa LodgeHata akijiendeleza na kupata degree bado anakuwa na akili zile zile za form four aliyefeli tu
Nikiwa Rais mfumo wa elimu ya msingi utabadilishwa utaongezwa wigo wa masomo ya kingereza ili kuendana na ule wa shule za privateYaani ukiwa msomi alienda shule ukaandika vitu ambavyo hujawahi hata kuvifanyia uchunguzi angalau kidogo inakuwa inatia aibu. Ngoja niwaeleze kama mnataka kujua vizuri.
Mtaala wa elimu shule za msingi kwa mtu aliemaliza kidato cha nne akapata four ya 28 na kushuka chini,akaenda chuo miaka miwili anakuwa na sifa toshelezi kabisaaa za kufikisha kile kilicho lengwa kwa mwanafunzi. Darasa la kwanza ni KKK ,mwenye uwezo wa kufundisha vizuri watoto wakajua kusoma vizuri na kuandika vizuri ni wale waliova vizuri kimbinu chuoni ndio wenye uwezo wa kuwafundisha watoto vizuri.
Huku mashuleni walimu wenye shahada za ualimu wanashindwa kufundisha vizuri kwa sababu mbinu na njia nzuri za kufundisha hawazijui wao walifundishwa kwa ujumla.Wanafunzi wanaleta kero zao wanasema mwalim hawamuelewi lakini ukiangalia ni kweli kabisaa.
Kumaliza fofm six na kusoma shahada sio tiketi nzuri ya kuwa mwalm mzuri hasa kwa mtaala wa elimu ya msingi Tanzania. Tanzania shida iliyopo walimu hawafundishi wanafunzi kwa vitendo bali ni kuwakaririsha kitu ambacho ndoo kinauwa uwezo wa wanafunzi kwenye mashule yetu. Ukitaza maudhui yaliyomo ni ya kawaida sana kueleweka kwa mwanafunzi shida ni namna anavyofundishwa mtoto hasa walimu wengi wamekataa tamaa,hawajiandai kuingia kufundisha ,hawatumii zana za ufundishaji lakini pia watoto hawapelekwi field kufanyia kazi walivyo viona kwenye vitabu. Serikali ibadilile iwrke ufuatiliaji wa karibu sana na kuhakikisha angalau 50% wanafunzi wafundishwe kwa vitendo.
Tatizo sio degree bali ni mfumo wetu wa uchumi hautengenezi ajira (job creation)Degree zenyewe za saivi sio degree mkuu kachunguze mtu aliyemaliza degree umuone
Ubora wa mwalimu wa shule za msingi siyo degree alizonazo bali ni utashi na akili .....walimu wa Tanzania wamepungukiwa UTASHI NA AKILI ZAIDZipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k
Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi
View attachment 3351986
Sio utashi mazingira ya kufundishia ni mabovu sana kwa baadhi ya maeneoUbora wa mwalimu wa shule za msingi siyo degree alizonazo bali ni utashi na akili .....walimu wa Tanzania wamepungukiwa UTASHI NA AKILI ZAID
Ubovu wa mazingira unaweza kupunguzwa na akili ....tatizo la walimu nimesema ni pamoja na AKILISio utashi mazingira ya kufundishia ni mabovu sana kwa baadhi ya maeneo
Na exposure pia ni muhimu sana sababu dunia inabadilikaTeaching is an art.