Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Nikweli kabisa Yani, jamaa angeleta mada mhimu jinsi gani tujadiliane kuikwamua kada hii kutokana na unyonyaji unaoendelea.
Context yangu ime base kwenye mijadala ovu juu ya walimu hapa JamiiForums
 
Asante saana mkuu, wachangiaji wengi wanakwepa ukweli uliomo kwenye uzi wanakimbilia kuniraani mimi as if mimi kuna sehemu nimewakashifu walimu!! Wanasoma kichwa cha thread wanakimbilia kukoment.
 
Muda wa mwalimu ni limited, saa 2 mpaka saa 6 masomo ya asubuhi, 7 mpaka 8 lunch, 8 mpaka 10Β½ masomo ya jioni!! Hao walimu wanaofanya bihashara wanafanya labda ya usiku
 
Magereza hawali kambini mzee posho wa napewa yote 300,000 na polisi pia,,,posho ya vinywaji hutoka kila baada ya miezi 3 kwa majeshi yote ambayo ni tsh300,000/
 
Wacha wadharauliwe tu kwasababu ni wassssssssenge. Wao ndo wanatumikaga kuiba kura za chadema. Walimu wengi (sio wote) hawana akili wameridhika na laki nne zao. Ni wasssssenge qumamaqe zao
Mkuu, kama kuna mwalimu alikupora mke, alikunyang'anya demu, alikuchukulia dada, alikutosa , anagonga binti yako, au bi mkubwa wako nashauri mtafute uongee nae mmalize tofauti zenu vinginevyo atazidi kukukera na kukusababishia maumivu kila unapomuona sababu naona hii kwako ni chuki ambayo inakutafuna. NB: Kusema kwamba waliiba kura za CHADEMA ni ku- justify upuuzi, hivi wakati agombea wa CHADEMA wanaenguliwa nchi nzima walimu walihusikaje! Kama hawa CHADEMA wanashindwa kuzuia mkurugenzi kuengua mgombea unafikiria wanaweza nini.
 
Wanaokaa nyumba za mabati wengi wao walishamaliza muda wao wa kisheria wa kukaa kambini ila wanaendelea kukaa humo kwa sababu za kiuchumi
Unavyosema sababu za kiuchumi una maana gani? Askari mwisho wa mwezi anafunga hesabu ya 700,000+ huyo ni askari mpya cheo kidogo kabisa. Kwahiyo wakikaa kwenye mabati na hata wasipokaa 700k kwa mwezi ni lazima.
Kinachowaua ni mikopo, ulevi na ngono. Sasa ukisema anakaa kwenye mabati sababu ya uchumi mdogo sijui hapo unamaana gani. Hata akikaa kwenye makuti, mwisho wa mwezi 700+ mkononi
 
Hii tunaiitaje hii???
 
Kwani wao ndio wanajilipa hiyo mishahara? Tumia akili kufikiri. Hiyo inatokana na hali ya uchumi wa nchi yetu. Hakuna anayemdharau mwalimu labda mpumbavu km wewe. Sisi tunawapenda na kuwaheshimu
Wewe ndio Mpumbavu Mbunge anayelipwa Mil 16 +Posho + Mafuta ya gari+Fedha ya Jimbo yeye hali ya Uchumi haimuhusu? NCHI ina wajinga wengi sana Kama wewe

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na ukweli kuwa walimu wanalipwa pesa ndogo ila Nimecheka hapo Tu ulipo sema watoto wako umewapeleka kusoma Kenya , Yani ndio nimekuona we NI kiazi mbatata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wajinga ndio waliwao wanamchangia mtu anayelipwa Milioni 100 mshahara kwa Mwezi

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu mwenye focus ataenda maeneo ya mashambani huko ataishi kama mwekezaji. Anyang'ang'ana mjini ndio ana shida. Walimu wenye ufahsmu huu ni matajiri hasa.
 
Mwalimu mwenye focus ataenda maeneo ya mashambani huko ataishi kama mwekezaji. Anyang'ang'ana mjini ndio ana shida. Walimu wenye ufahsmu huu ni matajiri hasa.
Huu mtazamo siyo sahihi. Zungumzia ualimu kama kada zingine za kazi saerikalini, je nao wako hivyo?

Unawataka wote waende vijijini je hapa mjini wanafunzi wafundishwe na nani?
 
Hivyo wewe umefanya research nchi nzima kada ya ualimu ndiyo yenye hali ngumu ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…