Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Hivyo wewe umefanya research nchi nzima kada ya ualimu ndiyo yenye hali ngumu ya maisha
Soma main thread wapi nilikofanya research yangu na nilivyo deliver conclusion yangu!! Rhetorical questions hizi ni za kupuuuzaaa
 
Anyways,tufanye walimu ni wapumbavu je hao askari wamefanya nini kutetea maslahi Yao Hadi wanalipwa hivi?ukitumia kichwa kufikri na sio hicho kiungo kingine utagundua kuwa mwl hapaswi kulaumiwa Bali serikali ambayo haijali elimu ya watoto wenu au jamaa zako.ikiwa unaweza kiwapeleka sijui Kenya Kuna shangazi yako atawaleta huku kwa wapumbavu watafunsishwa na hao wakenya wakirudi wataambukizwa upumbavu pia
 
U
Umetafiti sahihi
 
Very sad 😢 nimeumia sanaaa chozi limenibubujika
 
Hizi scale ni za 2022/2023 kuna scale mpya za 2023/2024 kama ifuatavyo
B1 ni 479,000
C1 ni 590,000
D1 ni 771,000
Hii sahihi kabisa japo ni bado tupige kelele ipande au wafute michango ya bima iwe Bure na warejeshe ata teaching allowance
 
Mhhhh mhhhh dr Samia rais wetu ona hii wamechangishana pesa ya fomu Yako awa watu kutoa ni moyo na si utajiri laki Moja take home huyu kweli atakua na mood ya kazi japo kweli kakopa lakini hako ka basic SI Cha mlinzi wa kampuni ya gada world asiye na hata cheti Cha kidato Cha nne na aliyelapa mafunzo ya mgambo
 
M
Mkuu leta pia Salary Scale za upande za kada zote tulinganishe.


Mishahara ya Serikali kwenye kada karibia zote tuu inalingana ama haipishana sana ila maslai ndio yanafanya kada hii iwe nzuri ile mbaya mara nyingine izarulike.


Mshahara wa Trafic aliyemliza pale CCP Moshi na kupangiwa kituo ch kazi Igunga mshahara wake ni sh ngap? Ni milion mbili?
 
Pitia komenti za wadau usikurupuke
 
We angalia utitiri wa makato hapo
 
Chanzo ni kwamba makanisa ndio yenye vyuo vingi vya ualimu haya ndio matunda yake
 
Chanzo ni kwamba makanisa ndio yenye vyuo vingi vya ualimu haya ndio matunda yake
Unakoelea ndugu Malaria utafungua chuo cha magaidi ndugu yetu!! Punguza unaa kwenye dini. Mbona ndugu yako katika imani Faiza Four 10 kabadilika??

Wewe ni Muslim kwa sababu ulizaliwa na waislam tu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…