proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
mwambie ana tofauti gani na mpwayunguKuna wazazi wapo radhi kulipa 3M+ kwa ajili ya Elimu lakini wewe kuchangia pesa ndogo (kiduchu) ya masomo ya ziada na mambo mengine unafungua hadi thread.
Kama unaona Elimu ni ghali basi jaribu ujinga inawezekana usiwe ghali
Hakuna hiyo, hawafanyi bila maslahi, jaribu kawaambie wajitolee kama wasemavyo wanajitolea wakati si bila chochote, au ina maana tofauti na volunteer?Walimu wenyewe wanatamani watoke mapema wakafanye mambo yao, Ila wanakaa shule mpaka jioni kuwasaidia watoto wenu.
Nenda kwenye kikao cha shule mkubaliane wazazi hamtaki remedials/vipindi vya ziada uone walimu watakavyoshangilia..
Ndugu acha utoto anzisha jukwaa la watoto. Kwani wewe ndiye unaye hudumia familia za Watanzania wanaotumia huduma ya shule hizo, acha kujikweza for nothing.nashangaa mwambie wkt wa kut o m b a n a alifurahia hakukumbuka kuna malipo ya mtoto unataka aende shule bure
Elimu ikiwa bure hai maanishi kuwa mzazi asinunue vitabu vya kiada na ziada.nashangaa mwambie wkt wa kut o m b a n a alifurahia hakukumbuka kuna malipo ya mtoto unataka aende shule bure
Achana na watu wenye akili matope.akaulize Ada feza NI sh ngapi.afu anaesoma pale feza NI Mtoto WA anaemwambia asichangie chochote KWA mwanae anaekalia tofali KWENYE shule ya umma.baadhi ya watanzania Wana akili matope sana.Mpeleke mwanao shule za Binafsi zipo nyingi tu, unataka waalimu wamnunulie Limu mwanao? Watoe copy Kwa hela zao? We mwenyewe unajua hali ya shule zilivyo. Unakuja kuwasimanga waalimu huku wakati wanapambania watoto wenu Kwa plan B. Wakiamua kuacha mtoto wako hatajua hata kusoma.
NB: Ningekuwa Mwalimu nisingehangaika na toto la mtu hasa hizi shule za Umma,mnawalaumu wakati anafundisha darasa halina hata miundombinu bora na Lina wanafunzi 150
Ushahidi upi? Yaelekea wewe si mtanzania, au ulisomea ndani ya ndege hujui yawapatao Watanzania walio wengi.Toa ushahidi usibwabwaje tu na tetesi
Wangekuwa na mbadala kuna mtu angekuwa mwalimu? Hiyo ndio hali waliyojikuta nayo, kila mtu apige kasia kwa urefu wa kamba yake asije akazama, Tanzania chini ya huyu mama ni boti iliyobotoka na inaingiza maji, wacha kila mtu ajiokoe kivyakeNi kweli kaka, ujira ni mdogo, lakini hatuwezi kuruhusu walimu wawekeze kwenye michango,tutaumiza watu, na ajira hizi ni hiari kwa hiyo umeridhia kufanya kazi ya ualimu ridhika na mshahara wako
Ndugu hivyo hakuna mwalimu aliyewahi uliza kuhusu sare za shule,daftari au nauli za wanafunzi, wao huangalia pale palipo na maslahi hacha unafiki.Elimu ikiwa bure hai maanishi kuwa mzazi asinunue vitabu vya kiada na ziada.
Madaftari
Chakula
Uniform etc
Naam hivyo ndivyo hali ilivyo kwa sasa.Wangekuwa na mbadala kuna mtu angekuwa mwalimu? Hiyo ndio hali waliyojikuta nayo, kila mtu apige kasia kwa urefu wa kamba yake asije akazama, Tanzania chini ya huyu mama ni boti iliyobotoka na inaingiza maji, wacha kila mtu ajiokoe kivyake
Matope tena, ndugu wewe kusomesha mtoto Feza ndio unajiona unasomesha, na wanaosomesha watoto wao Marekani huko, hujui wanakuona wewe unaesomesha Feza huna tofauti na anaye somesha Shule za secondari za Serikali.Achana na watu wenye akili matope.akaulize Ada feza NI sh ngapi.afu anaesoma pale feza NI Mtoto WA anaemwambia asichangie chochote KWA mwanae anaekalia tofali KWENYE shule ya umma.baadhi ya watanzania Wana akili matope sana.
Basi kama JPM aliharibu elimu baki na huyu tuliye naye walimu waendelee kujiongeza na uzi ufungwe.Acha ujinga huyu jamaa ndo alio haribu mfumo na elimu yenyewe tutamkimbuka kwa mabaya yake
Hapo sasaKaratasi vip na wino wa kuchapia mitihani.
Ndo maana nikamuliza kama mzazi anahudhuria vikao vya shule hakuna kitu walimu wanapitisha bila ruhusa au maelezo kwa walimu hasa kinachohusu pesa shida wazazi hawahudhuri vikao vya wazazi au kama unadharura nenda shuleni kapate maelezo itaepusha hii sintofahamuNi kweli, lakini je Serikali kuu inalijua hilo? Maana mambo hufanyika chini chini, kitu ambacho sijui kama ngazi za juu wanajua, mfano mzuri vile vitabu vilivyo katazwa kutumika na Serikali, inamaana ndio haya ya tamaa za walimu kuhamasishwa watu kutumika vitabu bila kufuata utaratibu wa Wizara husika
Sio kweli hata enzi za jpm michango ilikuwepo,Kweli tutaendelea kumkumbuka, maana alikuwa akitoa tamko rasmi kwa kila alichoona akiendi sawa au kilicho lalamikiwa na wananchi
Mkuu usemacho ni kweli kuna ruzuku, nikiwa mwalimu wa taaluma shule X mkoani Lindi wakati elimu bure inaanza,shule yangu ilikuwa inapokea sh 30000 kwa ajili ya steshenari, maana pesa hizi hutolewa kulingana na idadinya watoto,hivyo shuleni pale tulikuwa na watoto 90 tu,sasa hiyo 30000,ununue ream,chaki ,vifaa vya kufundishia na kujifunzia ,uchape mtihani ,bado nauli yakuipeleka na kuifata mitihani inawezekana kweli?Umekurupuka sana kujibu
Kila mwezi shule zinapokea hela selikal kuu kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kufundishia nankujifunza (shajala)
Zile capitation ndo kazi yake kununua rim na poa wanapewa fedha za miradi kama ujenzi wa madarasa nk
Kila mwezi
Zinafanya nini?