Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
- Thread starter
- #61
Hujui kama kuna shule wazazi tunawalipa poso walimu wa kujitolea kitu ambacho sidhani kama serikali yenyewe inajua, hili ni jukumu la Serikali waanze na kule Diwani aliko shikwa akila rushwa Kwa pesa za takokuruWewe tukupe shule ya umma uendeshe wiki moja tu utatamani ukimbie nchi shule inamambo mengi mdah mwingine ata ako ka mshahara ka feisal inabidi ukatumie huko hili mambo yaende jamani ualimu unachangamoto sana nchi yetu