Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
💯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa kuna vikao vya kujadili maendeleo ya wanafunzi huwa unaenda mkuu maana sio kulalamika. Mnataka watoto wafaulu sasa kuna extra hours walimu wanatoa mitihan hizo hela zinatumika kununulia maji ya kunywa wakisahisha au kufundisha masaa ya ziada mm naona ungefocus kuangalia maendeleo ya mwanao zaidi ya kulalamikia hzo helaHabari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu.Katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na pesa kila siku ambazo WALIMU uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu,je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi?. Pia kinacho nishangaza hakujawa na tamko lolote Toka Kwa wenye dhamana juu ya sualq hili, hii inaonyesha wenye dhamana hii wame ridhia.
Mimi naona kama elimu ilipo kuwa ikilipiwa ilikuwa ni nafuu kuliko sasa, Kwa sasa kila mwalimu wa somo lazima atengeneze mazingira ya kipato cha ziaza wakati ule ule ambao serikali inamlipa
Nawakilisha.
Wafunge masoma saa 8 mchana, waombe ruhusa rasmi ya tuition, baadala ya kujichosha na vimia mbili mbili vya wanafunzi, na kukaa na watoto hadi saa 12:30 jioni muda ambao ndio wa kufanya shughuli zao.Kipato Chao hakikidhi mahitajii na muda wakufanyaa mambo mengine njee ya shulee pia imekuwa ngumu kwao ,hvyo wameonaa Bora wale huko huko wanakofundisha...
Ni kweli, lakini je Serikali kuu inalijua hilo? Maana mambo hufanyika chini chini, kitu ambacho sijui kama ngazi za juu wanajua, mfano mzuri vile vitabu vilivyo katazwa kutumika na Serikali, inamaana ndio haya ya tamaa za walimu kuhamasishwa watu kutumika vitabu bila kufuata utaratibu wa Wizara husikaHuwa kuna vikao vya kujadili maendeleo ya wanafunzi huwa unaenda mkuu maana sio kulalamika. Mnataka watoto wafaulu sasa kuna extra hours walimu wanatoa mitihan hizo hela zinatumika kununulia maji ya kunywa wakisahisha au kufundisha masaa ya ziada mm naona ungefocus kuangalia maendeleo ya mwanao zaidi ya kulalamikia hzo hela
Ni sahihi Mkuu, ila kuwapa motisha Walimu ni jambo lenye Tija sana.Kila mtu kazi uomba yeye mwenyewe, ukiona unakwazika una achia ngazi unahamia Airtel
Hakuna mtanzania mwadirifu sema tunazidiana urefu wa kambaIla mawazili kuiba pesa lazima
Ukiona elimu ni ghali jaribu ujinga!! Hivi Huwa mnalipa sh ngapi!?? Mbona milio mingi!?Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu.Katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na pesa kila siku ambazo WALIMU uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu,je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi?. Pia kinacho nishangaza hakujawa na tamko lolote Toka Kwa wenye dhamana juu ya sualq hili, hii inaonyesha wenye dhamana hii wame ridhia.
Mimi naona kama elimu ilipo kuwa ikilipiwa ilikuwa ni nafuu kuliko sasa, Kwa sasa kila mwalimu wa somo lazima atengeneze mazingira ya kipato cha ziaza wakati ule ule ambao serikali inamlipa
Nawakilisha.
Asante kwa kuwasilisha uhalisia uliopo na ni kweli hali ndivyo ilivyo sasa fanya hivi;Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu,katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na kudaiwa pesa kila siku ambazo Waalimu uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu, je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi?
Pia kinacho nishangaza hakujawa na tamko lolote toka kwa wenye dhamana juu ya suala hili, hii inaonyesha kana kwamba wenye dhamana hii wame ridhia.
Mimi naona kama elimu ilipo kuwa ikilipiwa ilikuwa ni nafuu kuliko sasa, Kwa sasa kila mwalimu wa somo lazima atengeneze mazingira ya kipato cha ziaza wakati ule ule ambao serikali inamlipa yeye utengeneza malipo mengine, tena ni lazima, mwanafunzi hasiye wakilisha pesa hiyo, basi stress zote za mwalimu zitamuishia mwanafunzi huyo.
Nawakilisha.
Elimu sio anasa, hapo ndipo mnapo jisahau.Ukiona elimu ni ghali jaribu ujinga!! Hivi Huwa mnalipa sh ngapi!?? Mbona milio mingi!?
Karatasi vip na wino wa kuchapia mitihani.Mazingira ya shule za Umma, binafsi huwa nawaonea huruma sana waalimu,ni magumu mno,hizo mia 2 za copy zinawatoa roho wazazi, kupitia wazazi kama mnaona mnaibiwa changieni mnunue photocopy machine na printer shuleni.
Ni kweli kaka, ujira ni mdogo, lakini hatuwezi kuruhusu walimu wawekeze kwenye michango,tutaumiza watu, na ajira hizi ni hiari kwa hiyo umeridhia kufanya kazi ya ualimu ridhika na mshahara wakoMimi nimejibu hoja yaje kama alivyoileta, nina sababu ya kumuuliza niliyomuuliza.
Mantiki yangu ni kwamba, hizo shule za bure, ubure wake unasababisha maslahi mabovu mno kwa walimu, mwalimu take home ya 50k ataishi vipi? Sasa hao walimu hawawezi kukubali kufa njaa huku wanajiona, lazima watape tape kama mfa maji, sasa badala ya kuendelea kuwarushia kamba kama hizo za michango ili wasife, nyie mnataka serikali izidi kuwazamisha kwenye maji.
kama hizo shule michango ni mingi, mpeleke shule ya kulipia, huko hakuna michango.
Wewe unataka mtoto afaulu au serekali kuu ijue? Achana na wanasiasa ndugu hao hawasomeshi huko watoto wao.Ni kweli, lakini je Serikali kuu inalijua hilo? Maana mambo hufanyika chini chini, kitu ambacho sijui kama ngazi za juu wanajua, mfano mzuri vile vitabu vilivyo katazwa kutumika na Serikali, inamaana ndio haya ya tamaa za walimu kuhamasishwa watu kutumika vitabu bila kufuata utaratibu wa Wizara husika
Walimu wenyewe wanatamani watoke mapema wakafanye mambo yao, Ila wanakaa shule mpaka jioni kuwasaidia watoto wenu.Kila mtu kazi uomba yeye mwenyewe, ukiona unakwazika una achia ngazi unahamia Airtel
Ndugu kama una pesa Jenga shule yako, somesha watoto wako na ajiri Waalimu wako uwalipe vizuri, si una pesa sana, fanya hivyo, sisi hatuna uwezo huo. Ukifuatilia sana ninyi kazi zenu za ziada ni rushwa na upigaji.Hivi Huwa mnalipa sh ngapi jamani!?? Mbona milio mingi!?tafuteni pesa nyie watu!! Dahh Yani inalipa sh 10,000 Kwa mwezi unalialia!??
Sasa bia utakunywa kweli!?
umaskini wako unakutesaHabari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu,katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na kudaiwa pesa kila siku ambazo Waalimu uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu, je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi?
Pia kinacho nishangaza hakujawa na tamko lolote toka kwa wenye dhamana juu ya suala hili, hii inaonyesha kana kwamba wenye dhamana hii wame ridhia.
Mimi naona kama elimu ilipo kuwa ikilipiwa ilikuwa ni nafuu kuliko sasa, Kwa sasa kila mwalimu wa somo lazima atengeneze mazingira ya kipato cha ziaza wakati ule ule ambao serikali inamlipa yeye utengeneza malipo mengine, tena ni lazima, mwanafunzi hasiye wakilisha pesa hiyo, basi stress zote za mwalimu zitamuishia mwanafunzi huyo.
Nawakilisha.
Ndugu tunateseka wote, wewe unateseka kutoa pesa Kwa hiari, Sisi tuna teseka kulipishwa pasipo utaratibuumaskini wako unakutesa
nashangaa mwambie wkt wa kut o m b a n a alifurahia hakukumbuka kuna malipo ya mtoto unataka aende shule bureTanzania siasa ndo inasababisha watu kutowajibika.
Unazaa mtoto afu unataka usomeshewe bure