Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

Ninaamini mwalimu wa kweli ameitikia wito.
 
Acheni kuzaliana hovyo kama Sungura mkitaka maisha bora!
 
Siasa za Tanzania ni hovyo sana! Wanaokosoa JPM kununua Ndege, wanaokosoa kujinufaisha Kisiasa. Vile vile JPM na CCM amenunua Ndege ni jambo jema sana, lakini wanataka kujinufaisha Kisiasa.​
Siasa tupu na ujinga wa wananchi
 
Unaweza kukuta tatizo si uhaba wa darasa, bali wa waalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tatizo mbona lipo sana Sema nini viongozi wataelewa vipi watoto Wao wapo international school na English medium huku acha tu wakae chini ikiwezekana wakakae kwenye Miti kabsa,Then hakuna kosa kubwa kama kuchaangisha Mwanafunzi #Kama una uwezo mpeleke mtoto wako shule sio shuleni huko hope tumeelewana vzur.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watoto wote at the end wanakuwa wanaccm.
 
Natabiri:
Mpiga picha, mpigwa picha, Mkuu wa kituo na waambata wake kuadhibiwa kwa sababu ya clip hii, personally ningemshukuru msambazaji wa clip kwa kunifikishia taarifa ya hali halisi ili nichukue hatua za haraka kuondoa tatizo.
 
.MAGUFURI alisha sema hapangiwi, mbona mnakuwa wagumu kuelewa?
 
Natamani mngeenda kasikazini mlajifunza kwanini wanafanikiwa

Maana kule hizo shule za kata kabla hamjawaza Wala serekali kuhamasisha kule walishajenga kitambo Sana ..nakumbuka mwaka 1996 nilisomba mawe ya shule ya sekondari kiselu toka mtoni na hii ilikuwa kipindi Cha likizo yaani vijana wote kijijini Ni kusomba mawe ya ujenzi na hii sio ombi Ni lazima...

Na walimu walivyopangiwa watu waliwapa nyumba za kuishi bure na ushirikiano wa kutosha ..


Sent using Jamii Forums mobile app
 





Ni changamoto za kawaida
 

Attachments

  • IMG_2018.MP4
    9 MB
huyo Mwalimu ni kama anashangaa hali hiyo utadhani ni mgeni, lakini anaongelea walipoachia somo lililopita.... looks choreographed.... not to mention the moving camera trained on the situation.... and zero effort applied to create space for himself at the bottom of the black board.... apparently he was pausing for a dramatic video shoot!

Money Laundry and Economic Offense charges are in the offing...
 
Kwamba, hakuna hali hiyo kwenye shule za serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…