Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

Wanafunzi mia mbona wachache tu! Ukienda pale kwenye ukumbi wa Nkuruma (UDSM) ni jambo la kawaida kumkuta 'ticha' anafundisha wanafunzi mia nane kwa muda wa masaa mawili, acha hawa wanaotumia dk 40 hadi 80!
Umetumia akili ya kuzaliwa,ziada au ya kukurupuka( download)kutoa ulinganisho huo?hao wa UDSM age yao sawa na hao wa kwenye clip? Ujue Kuna njia na mbinu za kufundisha watu wazima ambazo ziko tofauti na watoto.Huko UD lecture method ndo inatumika wakati mpindimbi primary hawawez kutumia lecture method


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Unachozungumza wewe kina maanisha njia anayotumia mtt kujisaidia pia ni tofauti na mtu mzima si ndio! Tofauti ya mtt na mtu mzima sana sana ni kimo tu... Process nyingine zinafanana.
 
Huyu mwalimu atasakwa akamatwe
Jr[emoji769]
 
kweli duniani hatuko sawa cheki hapa waja primary school

 
Huyo mwalimu aliyepiga hiyo picha akamatwe na kuwekwa ndani sasa hivi kwa sababu amekosa uzalendo na kuamua kuionesha Serikali yetu kwa namna mbaya mbele ya umma.
 
Dah! Watoto wako chini ya ubao. Wanakula vumbi, wanasuffocate.

Pakitokea dharura, evacuation hapo mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…