ndaunile
Member
- Oct 7, 2017
- 90
- 233
Umetumia akili ya kuzaliwa,ziada au ya kukurupuka( download)kutoa ulinganisho huo?hao wa UDSM age yao sawa na hao wa kwenye clip? Ujue Kuna njia na mbinu za kufundisha watu wazima ambazo ziko tofauti na watoto.Huko UD lecture method ndo inatumika wakati mpindimbi primary hawawez kutumia lecture methodWanafunzi mia mbona wachache tu! Ukienda pale kwenye ukumbi wa Nkuruma (UDSM) ni jambo la kawaida kumkuta 'ticha' anafundisha wanafunzi mia nane kwa muda wa masaa mawili, acha hawa wanaotumia dk 40 hadi 80!
Sent using Jamii Forums mobile app