DOKEZO Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!

DOKEZO Walimu watakiwa kuhudhuria mafunzo ya mtaala mpya kwa siku 2 kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi wale walilipwa? Siku wale wajumbe kutoka Zanzibar wanarudi nlikuwa bandarini... walikua wamewekewa utaratibu wa kupita free pale Azam aisee walikua wamechoka, hawapo nadhifu ukiwaangalia unaweza sema ni mtu aliyeeenda kulima Kiteto baada ya wiki tatu ndo karudi mjini😁
Kuna uzi humu jamaa anasema walilamba 2.6m per kichwa.
 
Hivi wale walilipwa? Siku wale wajumbe kutoka Zanzibar wanarudi nlikuwa bandarini... walikua wamewekewa utaratibu wa kupita free pale Azam aisee walikua wamechoka, hawapo nadhifu ukiwaangalia unaweza sema ni mtu aliyeeenda kulima Kiteto baada ya wiki tatu ndo karudi mjini😁
Huko huwezi mkosa mwijaku,baba levo,Juma lokole na wengine wengi. Ccm ina hadhina ya wajinga wengi sana hapa duniani!
 
mkuu waache walipwe afu6 kwa hizo siku, na wanastahili,, mana kwa kiasi kikubwa wao wanatumika kuendeleza uhuni wa ccm,. kama hujaelewa niulize kwanin!
 
Basi hiyo seminar mlilipwa kama Perdiem, ambayo Kwa viwango vipya ingekuwa ni shilingi 80,000 hadi 250,000 kulingana na ngazi ya mshahara na Mji mnapofanyia kikao

By the way, hongereni.

Sisi Wakulima kupata hizo Posho ni hadi tuuze mazao yetu Kwa Wadosi 🤗
😃😃😃Wakulima oyee
 
Sijui hizi dharau kwa walimu zitaisha lini, kama ni kweli basi ni jambo la ajabu sana... Ila nimejikuta nacheka daah, kwahiyo posho afutatu sio, wakati huo huo goal moja ni million 5 😂😂😂😂😂
 
Nilikuwa sijui jina ka huu mfumo. Lakini kwa TZ hii, nahisi anayepata hela inayostahili labda ni rais tu. Kupunguziana pesa ndio habari ya mjini. Kiongozi akupe heka yote kabisa bili kuminywa ni hakuna tu!
Huu ni mfumo upo khasa nchi zinoendelea.

Lakini nchi kama Congo DRC ina mfumo uitwao Banana Republic kwani uchumi wake si imara na mfumo wa siasa ni mbovu huku rasilimali zake kama madini kuwa ni mali ya wachache na nchi za kigeni.

Ipo mifumo mingine kama Aristocray, Oligachy, Plutocracy, na mingine ambayo hapa kwetu Tanzania yaweza kuwa ni mchanganyiko pia.
 
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.

Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.

Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=

Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.

Safi Sana hii.

Wale Walimu ambao hawana akili nzuri kwa mwendo huu LAZIMA akili nzuri itawajia because they'll learn through the hard way.
 
Eti huenda ni kwa sababu supply yao ni kubwa kupita kiasi.
Walimu wako wengi mno bongo sasa Hela zitakuwa nyingi mno labda.
Pia huenda haikuwepo kwenye bajeti.
 
Ngoja ukutane na boss kichaaa mpenda sifa mbona utaenda na utavaaa dera la kijani na njano
Aah thubutu labda nitake mwenyew
Kuna wamama walikuwa wananipenda mtaan kwetu na ni wanachama kindakindaki wakaja kunambia wanipe kadi watanipendekeza niwe Diwan viti maalum😂😂😂
Nikasema wanataka niwe mchawi mapema nilikuwa Nina miaka 24 😂😂
 
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.

Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.

Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=

Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.

Aah thubutu labda nitake mwenyew
Kuna wamama walikuwa wananipenda mtaan kwetu na ni wanachama kindakindaki wakaja kunambia wanipe kadi watanipendekeza niwe Diwan viti maalum😂😂😂
Nikasema wanataka niwe mchawi mapema nilikuwa Nina miaka 24 😂😂
Ungeolewa na Mayor upate connection kibao
 
Na hiyo si posho ila ni chai ambapo mwalimu amekadiriwa kunywa chai ya Sh. 3,000 kwa siku hivyo siku 2 ni sawa na 6,000 pesa atalipwa mtoa hiyo huduma. Amekadiriwa chapati mbili na kikombe cha chai ya rangi, mchana apige deshi.....dah mwalimu aisee.
Jamaa anavyosisitiza mimi mimi kwenye meseji utadhani analipa per deim ya maana
 
Back
Top Bottom