rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Kuna uzi humu jamaa anasema walilamba 2.6m per kichwa.Hivi wale walilipwa? Siku wale wajumbe kutoka Zanzibar wanarudi nlikuwa bandarini... walikua wamewekewa utaratibu wa kupita free pale Azam aisee walikua wamechoka, hawapo nadhifu ukiwaangalia unaweza sema ni mtu aliyeeenda kulima Kiteto baada ya wiki tatu ndo karudi mjini😁